Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

a510fd4d7b3a71596113644eca4f2af1.jpg
403555ec1480709a2b9ffb5549597bce.jpg
59d0a4b8a753d773d18a44eb3b3e84f3.jpg
bbe6e6e189192a862409432683d92e6e.jpg

Man Utd anaweza kukutana na Bayern au Juve au Real Madrd au wengine watakaomaliza # 2 kesho wasiotoka England

Wakati Chelsea atakutana na PSG au Barca au washindi wengine wa makundi kesho wasio Waingereza
Hao benfica walienda kufanya nini?
 
Mechi zote lukaku yupo mbele peke yake anapambana na mabek kuwaangushia mipira wakina martial mtu anakwambia lukaku apate majeruh hiv huyo mtu anaitakia mema united?

Kuna watu humu mpira hawaujui hata kidogo lukaku uwepo wake mbele unifanya timu pinzan mabek kutopanda kutushambulia yanabak zone yao kumlinda ambayo ni faida ya kwanza
Mkuu, well said. Agiza soda Lukaku atalipa. Ggmu
 
Mark Clattenburg says he knew he wanted to quit refereeing in the Premier League after a tirade by Jose Mourinho
kafata pesa za waarabu huyu hana lolote
24774726_10155925285808598_8972966311962548034_n.jpg
 
Teams won't be "jumping with happiness" to play Man United in the Champions League round of 16, says Jose Mourinho
 
hata dawasco wakitaka kukata maji hawatembelei nyumba hadi nyumba na kufunga mabomba, just wanafunga bomba kuu na nyumba zinakosa maji.

hapo silva na de bruyne ndio wapishi wakubwa, ukikamata hao waliobakia watapata tabu kucheza sababu wao wanataka wapikiwe then wafunge.

No bro, it is not so, Manchester city team is good because they are full of movements, ideas and different plans. If you stop one idea they will find other which works.

They can push wing backs and the whole team forward, further up the pitch, it is extremely difficult to defend even for 20 minutes without making mistakes.
 
hata chelsea mwaka jana walikuwa hivyo, wingback nzuri za moses na Alonso, kina pedro wapo form na costa, ngolo kante, matic, hazard etc ila mourinho alikaba watu wawili tu hazard na matic waliobakia wote wakawa wanazurura tu uwanjani hawajielewi.

kwa macho yako ya kawaida unaona hivyo, ila makocha wataalamu wanaona zaidi yetu, tusubiri mechi tutaona.
 
Mhh, ok, you call yourself expert, mtaalamu mwenye macho yasiyo ya kawaida na wenzako makocha wataalamu. We will see.
 
Chonde chonde United msidhubutu kupaki basi kwa hao wenda wazimu wanaolazimisha magori .....Hilo gari mtakalo paki hakikisheni mna weka umakini msije kupaki Busi kwenye Eneo ambalo wenzenu wamesimamisha misumali ....😀😀😀😀
 
Tetesi
Ivan Perisic, 28, wa Manchester United amefichua kuwa Kocha wa Inter Milan Luciano Spalletti alijaribu kumshawishi asahame Italia badala ya kuhamia Old Trafford. (Mediaset via Manchester Evening News)
 
Back
Top Bottom