Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa ana mchango zaidi ya magoli. Leo kafunga pia kasababisha goli la pili.
haka kagoli kaleo bado hakafuti makosa na nafasi anazochezea, ni mzito uwanjani, kuna wakati huwa nalazimika kuaachia mechi njiani sababu yake maana anaboa
 
a510fd4d7b3a71596113644eca4f2af1.jpg
403555ec1480709a2b9ffb5549597bce.jpg
59d0a4b8a753d773d18a44eb3b3e84f3.jpg
bbe6e6e189192a862409432683d92e6e.jpg

Man Utd anaweza kukutana na Bayern au Juve au Real Madrd au wengine watakaomaliza # 2 kesho wasiotoka England

Wakati Chelsea atakutana na PSG au Barca au washindi wengine wa makundi kesho wasio Waingereza
 
Mashabiki maandazi bana hawana shukran wala subira kisa wanapresha za kuchana mikeka yao. Mata,lukaku na wengine wanacheza vizuri tu. Ipo siku watu watamlaumu de gea na kuanza sema hana viwango. Hizo bet zinawachizisha sana.
tafadhali sana usimweke De Gea kundi la lukaku, kuna watu wanajua wajibu wao uwanjani, hata akifungwa tunaona kweli ni halali, nahata akifanya uzembe ni mara moja moja sana
 
kuna umuhimu wa lukaku kuvunjuka mguu asicheze ligi nzima labda atapata akili maana mzigo hatuna pa kuupeleka

Mkuu nakuonea huruma sana bila juhud za lukaku pale mbele wakina martial wangekuwa na wakat mgumu sana fuatilia toka game ya spurs had leo ushiril wake ktk vyanzo vya magoli hakosi kuwemo mnaangalia kufunga tu angalieni Na movement zake .

NAMPENDA SANA LUKAKU.
 
we mpende sana tu. Binafsi naona haitendei haki thamani yake.
btw tunachoshukuru ni kujihakikishia kuingia 16 bora.
 
Weka magoli yake ktk mechi zote toka aje united na assist halafu tupime ubov wa lukaku
 
Back
Top Bottom