radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
united wanachofanya msimu huu ni kushindana tu ila hawatashinda
Basi atashinda arsenal
united wanachofanya msimu huu ni kushindana tu ila hawatashinda
Timu ipo kwa silva mkuu chunguza vizurMimi ningevaa viatu vya Mourinho, ningetumia mbinu zote kumfanya Kevin De Bruyne awe na kesi ya uzururaji ndani ya Uwanja.
Sio liverpool ileman u watafungwa kama watoto
wapo kwa ajili ya sub dakika kuanzia ya 86hivi mick na ibrah ni majeruhi??
Nadhani kama umeshindwa kusoma kikosi cha leo hapo juu... basi ungejiuliza tu swali dogo... Kwanini jamaa kauliza hivi?wapo kwa ajili ya sub dakika kuanzia ya 86