radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Sina imani nae hata kidogoUyu refa ni nuksi.
Sina imani nae hata kidogoUyu refa ni nuksi.
Sina imani nae hata kidogo
hahaha...refa hata awe colina man u hamuwezi kuchomoka kwa man citySina imani nae hata kidogo
hahaha...refa hata awe colina man u hamuwezi kuchomoka kwa man city
Macheda na lingard takwimu zao zinafanana?
Ndo mchezo waoHivi hawajamaa huwa wanajua kama wanazamishiana madole?!
city anaongoza kwa point ngapi?.....pogba hayupo , matic majeruhi kuna timu tena hapo?......man u subirini kichapo najua mtapaki sana basi lakin hata draw hampati.....City kautoa wap huo ubabe? Old traford sio mahali salama ndo mana kocha wa city kaanza kupumzisha wachezaj wake anapajua pale bila mbeleko hatok
Mkuu...hawa watu walisema tunafungwa hizi mechi zote tatuCity kautoa wap huo ubabe? Old traford sio mahali salama ndo mana kocha wa city kaanza kupumzisha wachezaj wake anapajua pale bila mbeleko hatok
Mkuu...hawa watu walisema tunafungwa hizi mechi zote tatu
Watford 2- Man 4
Arsenal 1-Man Utd 3
Man utd 2-Man city 1
Mkuu mm ni shabiki wa United na kwahili naungana na wewe kwa asilimia zoteMimi Huwa Nawasifu Sana Fans Ambao Wanajua Mpira Kwa Kusimamia Hoja Zao Kuhusu Uwezo Wa Mchezaji au Kocha Fulani...
Na Ninawachukia Sana Wale Timu ikishinda → "Tuna Bonge la Kocha"..
Timu ikifungwa → "Kocha Hafai"...
Mchezaji akifunga → "Talented"...
Mchezaji asipofunga → "Ni mediocre"...
Ningependa Hizi post za delightful za kumuAppreciate Lingard ziendelee till the end... Na isiwe Hii December tu Kwa Michezo 2 au 3...
Yasije Yakawa kama ya Federic Macheda Na Adnan Januzaj...
Nitawakumbusha mtaposahau...
My take: NimekuQuote wewe nikiwa simaanishi wewe Ndiye muhisika Wa Tabia Hiyo
Mbona unaandika upupucity anaongoza kwa point ngapi?.....pogba hayupo , matic majeruhi kuna timu tena hapo?......man u subirini kichapo najua mtapaki sana basi lakin hata draw hampati.....
Mbona unaandika upupu
aliyekwambia Matic hachezi Manchester Derby nani ? Keo kapumzishwa tu
Halafu mnachonga sana km mechi dhidi ya Ardmsenal kisha tuliposhinda mkanyamaza
city anaongoza kwa point ngapi?.....pogba hayupo , matic majeruhi kuna timu tena hapo?......man u subirini kichapo najua mtapaki sana basi lakin hata draw hampati.....