Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa ana mashauzi sana huyu. Huwa anajiona bora sana pumbavu zake.
Msimu wake wa kwanza epl baada ya kufunga mechi za mwanzoni aliulizwa ameona challenge gani epl.

Jamaa akajibu anapata tabu tu kuendesha gari lake maana ni mfumo tofauti na spain.

Alijiona kwenye soka amemaliza kilicho fuata anakijua
 
The question is: - will Manchester United use single decker or two double decker bus to defend.

upload_2017-12-4_14-53-37.jpeg


upload_2017-12-4_14-55-57.jpeg
 
Timu ukiona inamnadi Kumuuza Mchezaji ambaye ana Mkataba Mpaka 2021 bila ya Kutanguliza Kipengele cha "NOT FOR SALE".... Basi mnunuzi unatakiwa ufikirie Mara mbili...!

Huyo na walker walikuwa na mgogoro na kocha wao wa kimaslahi
 
Well done boys! But hata hivyo Katika Mchezo Wa Jana Kipo Kitu Cha Kukizingatia na Wala Si Cha Kupuuza....

1) Kwanini Arsenal Wapate Shots 13 on target, na 8 off target?

2) Kwanini De Gea awe Man of the Match?

3) Kwanini De Gea Aokoe Mashuti Mengi Zaidi Katika Mechi Moja Kwa Msimu huu?

4) Kwanini Washambuliaji Wa Arsenal Waliruhusiwa Kupiga Mashuti golini Moja Kwa Moja tofauti na Munapozikabili Timu Kama Liverpool, Chelsea na Man city?

Hapo ni Dalili Kuwa Katika Defence Yenu au Mfumo wenu Kulikuwa na Tatizo....
Siku Zote Tatizo la Mabeki au Mfumo Humfanya De Gea Kuwa Shujaa...

Kamanda baill alikuwa nje pia kiungo chetu cha ukabaj naona hakikuwa imara sana

Ila mourinho huwa anamletea sana masihara wenger pamoja na ule mpira mwingi wa arsenal mourinho hakuhangaika sana benchin muda mwingi kakaa na kucheka tu alikuwa anayajua madhaifu ya mtu wake
 
Pogba angekuwepo ningekwambia tunawafunga bila tabu. Ila Pogba kufungiwa imenipasa kukiri lolote linaweza kutokea.
City wanafungika....
Siku hiyo ndio utajua kwanini Mou anaitwa "the special one"

Akiwa Chelsea, drogba ana red card na wamefungwa 2-1 first leg na drogba akiwa on fire.

Kilichowakuta 2nd leg barca hawatakisahau.
 
Mechi ijayo ya Uefa namuona matic,herera,rojo,valencia na lukaku wakipumzishwa au kuwekwa sub kusubiri mechi ya city na huku pogba na maktominay wakicheza kati na namba 9 acheze zlatan badala ya lukaku na huku felaini na bailly wakiisubiri hiyo mechi ya city ni maoni yangu tu au nyie wadau mnaonaje....???

Na navyojua morinho hawezi kumuacha benchi lukaku kwenye mechi dhidi ya city labda aumie.

City lazima ake pale OT.
Itakua na akili hyo
 
Back
Top Bottom