na msimu huu hatuna timu ya kumtegemea mtu mmoja afunge tu kwa sasa timu nzima inafunga ukizubaa tu goliAisee Lukaku hata asipofunga ile shughuli yake mbele inatosha. Wakati mabeki wanajichosha kuhangaika nae, akina Lingard,Martial wanafunga
Pogba angekuwepo ningekwambia tunawafunga bila tabu. Ila Pogba kufungiwa imenipasa kukiri lolote linaweza kutokea....Dakika 10 za mwisho kabla ya mpira kumalizika,Arsenal ilikuwa inacheza na Washambulizi wake wa 5(Giroud,Lacazette,Iwobi,Welbeck & Sanchez) lakini bado walishindwa kupata goli katika lango la De Gea....Kitu pekee nacho kiona hapa ni kumsimamisha Pep Guardiola December 10.
Akikalishwa City itakuwa km tumeshinda ubingwa aisee. Mpira wetu watu ni wa kmbinu zaidi ya burudani. Siwaoni km wanatisha sanaMechi ijayo ya Uefa namuona matic,herera,rojo,valencia na lukaku wakipumzishwa au kuwekwa sub kusubiri mechi ya city na huku pogba na maktominay wakicheza kati na namba 9 acheze zlatan badala ya lukaku na huku felaini na bailly wakiisubiri hiyo mechi ya city ni maoni yangu tu au nyie wadau mnaonaje....???
Na navyojua morinho hawezi kumuacha benchi lukaku kwenye mechi dhidi ya city labda aumie.
City lazima ake pale OT.
Nani alikwambia kuremba muandiko ndio kufaulu?Arsenal vs Manchester United stats. You wouldn't think the team on the right won 3-1!
Lile bao la tatu kakokota ngoma katoa pande kisha kaenda kusubiri kumalizia shughuliMkuu ni noma aliwafanya mabeki wa Arsenal washindwe kutulia.
Hahahaha,Pana shabiki wa arsenal kanitumia hiyo nikampandia hewani nikamuuliza kwani kutongoza sana ndio kuoa (nimetumia tafsida )hajanijibu kakata na simu.
Ingefutwa ya sadio mane alivyomgonga kipa wa city kwanza kabla ya kufutwa hiiHe didn't mean to do that...
Hakika,Huyu na Baily ndio future ya ukuta wa Man United
Kabla ya mechi ulikuwa unalialia tumepanga kikosi cha kupaki bus hapa tayari umebadilisha giaWell done boys! But hata hivyo Katika Mchezo Wa Jana Kipo Kitu Cha Kukizingatia na Wala Si Cha Kupuuza....
1) Kwanini Arsenal Wapate Shots 13 on target, na 8 off target?
2) Kwanini De Gea awe Man of the Match?
3) Kwanini De Gea Aokoe Mashuti Mengi Zaidi Katika Mechi Moja Kwa Msimu huu?
4) Kwanini Washambuliaji Wa Arsenal Waliruhusiwa Kupiga Mashuti golini Moja Kwa Moja tofauti na Munapozikabili Timu Kama Liverpool, Chelsea na Man city?
Hapo ni Dalili Kuwa Katika Defence Yenu au Mfumo wenu Kulikuwa na Tatizo....
Siku Zote Tatizo la Mabeki au Mfumo Humfanya De Gea Kuwa Shujaa...
Ni mbinu tuu. Sometimes unaweza risk na ukapata matokeo. Kumbuka Arsenal walicharuka baada ya kufungwa na kwamba hakukuwa na cha kupoteza.Well done boys! But hata hivyo Katika Mchezo Wa Jana Kipo Kitu Cha Kukizingatia na Wala Si Cha Kupuuza....
1) Kwanini Arsenal Wapate Shots 13 on target, na 8 off target?
2) Kwanini De Gea awe Man of the Match?
3) Kwanini De Gea Aokoe Mashuti Mengi Zaidi Katika Mechi Moja Kwa Msimu huu?
4) Kwanini Washambuliaji Wa Arsenal Waliruhusiwa Kupiga Mashuti golini Moja Kwa Moja tofauti na Munapozikabili Timu Kama Liverpool, Chelsea na Man city?
Hapo ni Dalili Kuwa Katika Defence Yenu au Mfumo wenu Kulikuwa na Tatizo....
Siku Zote Tatizo la Mabeki au Mfumo Humfanya De Gea Kuwa Shujaa...
Kabla ya mechi ulikuwa unalialia tumepanga kikosi cha kupaki bus hapa tayari umebadilisha gia
Tactics za Wenger,Klopp,Conte hazifanani
De Gea is the best goalkeeper in the world
Hivi hawajamaa huwa wanajua kama wanazamishiana madole?!