Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Kwenye red hapo lmao!! Mkuu mechi moja tu ushaconclude kipa wa jana ni mkali? Lindegaard pamoja na saves zake ball distribution zake ni awful awful awful.naona fergie anafanya test cross za formula.
jana baada ya gemu SAF aliulizwa na waandishi de gea atacheza kweli jumapili yeye akajibu kwa jazba "..de gea will play on sunday full stop."
na hilo swali limekuja mara tu baada ya kuonekana kipa wa jana ni mkali kuliko de gea..
je wewe kama fan wa manure unasemaje juu ya huyo kipa?..