asalam aleykum dk,alhaj mh Manda.
Naona Smalling kawatoa.
salam wakuu ,
wenger mzima??
Waaaat a sevu....endeleen kumponda Da gea....uyu Evans n nyambafu...
awa sita tu zawatosha.
Mh Mh...acha bana...tumpe sifa dogo...na ile la Lampard je?...hahaha! dogo mzur...Lindegard n poor kwenye back passes na distribution ya mipira (which is our culture).Sio save ya kutisha vile Ramires ndio kafanya uzembe pale