Billabong
Senior Member
- Jun 2, 2011
- 103
- 13
Hili jukwaa mbona limepoa sana?
MUTD fans wapo watatu tu?
Tupo wengi tu mkuu, hatuna wasi*2 na vijana wanafanya kazi.
Hili jukwaa mbona limepoa sana?
MUTD fans wapo watatu tu?
Kolarov kasawazishaJirani keshapigwa kimoja
Jirani keshapigwa kimoja
Hii ndio game yetu tough kuliko zote,hizo game nyingine ni kujichukulia pointi tuHongereni kwa ushindi kama wetu tuliopata jana.
Naona Man Utd mmefurahia draw!
Ndio adavantage ya kuwa na wachezaji wazuri wengi,tuonane weekend OTAnother man of the match performance from a keeper....leo mlikuwa mnapigwa goli kibao kama De gea angekuwa golini, asingeweza kusave zile shots za chini.
Kwa lineup tuliyokuwa nayo leo, I would take a draw at any given day....!!
Wachezaji wote walikuwa average ukiondoa kipa, Lindegaard ameproduce some fine saves ila his distribution is woeful.
Aya yalikua mazoez ya kuvunja daraja pale OT jpili..wajiandae!
<br />Mamaeeeee Evans....unakubali kugeuzwa kama chapati za mama nico mtaa wa pili apo?
Jagu Kazi yenu ni kuzima moto nyumba ya jirani wakati.........[/QUOTE said:Wee Kijana, hangover ya nane haijaisha?, au unahitaji back up zimamoto.
<br />Wee Kijana, hangover ya nane haijaisha?, au unahitaji back up zimamoto.