that was beyond FABULOUS.... Nani yule??? NANI??? Yes Nani..... BONGE LA GOLI...... Siipendi MANURE but that goal was not only FANTASTIC but also COCASTIC.......................hahahahahahaaaaaa.....
Waaaaaaaaaaat a goooooooooooooool! embutupen sifa Nani....bomba la goli...bado Ya Runi.
Maodngo ya mbali kama haya ndio tuna kosa kwenye timu yetu mkuu. Yanasaidia sana.
duuuh la 3 , hawa jamaa nao wapigeni 8 basi hili aibu iende kwao pia lol.<br />
<br />
Mkuu Peasant sijui atajificha wapi.
Sure mazee... After all sidhani kama ni policy ya AW kushoot.... koz kuna watu walikua wanashoot aibu...lakini kufika Arsenal tu kwishney.... Sijamaliza kuandika la 3.......
Mkuu AW unawaombea jamaa dozi? Ha ha ha haaaa!
that was beyond FABULOUS.... Nani yule??? NANI??? Yes Nani..... BONGE LA GOLI...... Siipendi MANURE but that goal was not only FANTASTIC but also COCASTIC.......................hahahahahahaaaaaa.....
Addition of one msamiati kwa my vocabulary: COCASTIC...hahahahaha! asante Quest...thy was MANDASTIC aiseeee...kama enz zangu nikiwa Lipuli ya Iringa! lmao!
Yaap , watu wapate timu nyingine ya kuicheka lol. Tupumzike na sisi kidogo.