Manda
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 2,071
- 306
Phil Jones ana uwezo wa kucheza namba nyingi sana, binafsi nitafurahi sana kama Sir. Ferg atampanga namba 6 kwenye game za Chelsea na Liverpuli especially kipindi ambacho Tom ameumia
Pointi nzur mkuu...Evans apige mbavu za kulia kwa Evra,Rio na Smalling kati, na wale mapacha sijui wamepona au lah, unles azawiz Ggs mze mzima apewe dimba dogo chini pale...
I hate Carrick aisee.