Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man u wapinzan wang msiniangushe leo nimebet kwenu ban ila see wa blues mapem tu 16 bora
 
Mie naona Mourinho wakati mwingine anajitakia mwenyewe vipigo.

Unaingiza mingongoti yote inayosubiria kulishwa tu. Zlatan, lukaku, rashford, martial. Then unamtoa mlishaji pogba.

Nyuma kunavuja toka mwanzo umekodoa macho tu. Damian, Blind wote hamna kitu. Thanks to Rojo tungepigwa 3.

Unategemea ushindi kwa bahati ringard?? Badala ya kuingiza wakimbizaji kama Mata??

Felain, matic wote faru tu ukimshika mkia hageuki.

Uza ringard, Uza Damian, Uza blind, Uza mikh. Leta willian na wanariadha wengine wenye mashuti pia.

How unamuanzisha Damian na blind yote mafafa kama sio kutaka Rojo aumie tena???

Wenzio huko wanapiga 3, 4, 5 na ukiwachekea 7. Wewe unasifiwa mingongoti tu - mhxxxxxxx!
 
Relax Mzee United hata akifungwa next game still anaweza kuongoza kundi na hakukuwa na sababu ya ku-risk Pogba acheze dakika 90 kwenye mechi ya leo
 
Ni kweli kumtoa pogba ni sawa.
Lakini mlishaji mwingine nani?

Hizi mechi ni za kuonyesha combination inayofaa baada ya mazoezi na sio kufanyia mazoezi hapo. Utafikiri timu haifanyi mazoezi???

Kwani psg kamsindilia mtu huko uliona walivyokua wanatiririka as if finale wkt wameisha fuzu.

Timu ina wachezaji wengi lkn mizigo.
Lingard alikua anarukaruka tu utoto kibao.
 
Katika mechi 4 za UCL zilizopita Pogba amecheza mechi 1 tu United wamecheza mechi 3 bila Pogba na zote walishinda so wachezaji waliopo wanapaswa kucheza na kushinda hata kama Pogba hayupo. Tunaingia Festival season ambapo kuna mechi nyingi lazima ufanye rotation otherwise ukipata majeruhi msimu unaisha hiyo hiyo December

Game ya leo ilikuwa kuimaliza kipindi cha kwanza wachezaji wameshindwa kumaliza nafasi na fullback Darmian,Blind wamecheza ovyo

PSG wana Neymar,Mbape,Cavani,Di Maria,Draxler,Alves na wameweka rekodi ya kufunga magoli ambayo Barca,Bayern,Madrid,Milan hawajawahi kuifikia
 
Man U hii ni ligi ya MABINGWA ulaya haukutani na Newcastle wala mlizokutana nazo huko Europa makundi 2 hivi je huko mbele c vituko
 
Back
Top Bottom