Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,241
- 1,249,708
Hahahaha eti hana tofauti na mabasi ya udat watu mna maneno
Numbisa!
Hakuna namna tuwasiliane na Mourinho aachane na Bale??
Maana hana tofauti na mabasi yetu hapa ya udati, mvua ikitimba yanageuka konokono.