Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Ongeeni mpaka mchoke,ila ukweli mchungu ni kuwa tumeshafuzu.Angalia sheria za UEFA zinasema nini endapo timu zikilingana?
Tufanye tufungwe mechi ya mwisho,kitakachofata ni kuangalia head to head.Icho kipengele tu,tunamtoa Basel...tulimpiga 3-0,yeye katupiga 1-0.
Alafu mbona mnaongea sana kama vile kuna maajabu Leo.
Mourinho aliweka timu ya kawaida sana leo,japo hakutegemea kufungwa.
Man u tumesharudi,mziki wa rojo sio wa kitoto.Rojo,Bailly pale kati sioni striker wa kusumbua labda PSG kidoooogo kwa mbali ila sioni forward ya kusumbua ukuta wa man u ukiwa full mziki.Valencia,young,rojo,Bailly bila kumsahau de gea.
Pale kati pogba,Matic
Zlatan kaisharudi,wale nyuki wawili wote waanze Rashford na Martial.
Kwa kweli bado sioni timu ya kututisha endapo full mziki wote utakuepo.
Time will tell