Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu chache zitacheza mechi yao ya mwisho hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa zikiwa na alama 12 kibindoni bila uhakia wa kusonga mbele, na baada ya kipigo cha kizembe cha 1-0 dhidi ya Basel Jumatano Manchester United nao wanajikuta katika hali hiyo.

Kuruhusu goli la dakika ya 89 kwenye mechi ambayo ambayo walipaswa kuwa wameshashinda hadi wanakwenda mapumziko inamaanisha sasa wataikaribisha CSKA Moscow Disemba 5 wakiwa na kazi ya kufanya kujihakikishia wanasonga hatua ya 16-bora. Mechi yao ya Old Trafford itakuja ikiwa siku tano kabla ya mechi dhidi ya majirani zao Manchester City.
 
United wamejiongezea presha ambayo haikuwa na sababu, Michael Lang ndiye aliyepeleka majonzi alipounganisha krosi kutoka winga ya kushoto na kutikisa nyavu za United.
Sare ingewatosha United kusonga mbele, lakini ufisadi wao katika muda wa saa moja ndiyo sababu walishindwa kuwadhibiti Basel kuizidi ujanja safu yao ya mabeki.
United walitawala mchezo kabla ya mapumziko wakimiliki mpira kwa asilimia 74 na kutengeneza nafasi nyingi.

Romelu Lukaku alipewa pasi nzuri na Paul Pogba lakini alipiga shuti moja kwa moja kwa Tomas Vaclik, Anthony Martial alijitengenezea nafasi nzuri na kukimbia kwa umahiri lakini hakuweza kumaliza vizuri na Marouane Fellaini alipata nafasi nzuri ya kufunga mara tatu lakini jitihada zake ziliishia kugonga mwamba. Marcos Rojo pia alishuhudia shuti lake la masafa likigonga besela.
 
Tumefunga kwa sababu kipindi cha kwanza tulipaswa kuongoza kwa 5-0 na hatukuweza kufunga hata goli moja baada ya kuumiliki mchezo mno, na kwa kiwango tulichocheza hapakuwa na uwezekano kwa nini tushinde," maneja Jose Mourinho alibwata baada ya mechi.
"Lakini uzoefu unasema kuwa unapopoteza nafasi nyingi sana unajiweka mwenyewe kwenye hali mbaya kama hiyo."
Kwa upande mwingine, Pogba alikuwa na kiwango safi kabla ya kuchoka baada ya mapumziko, na kutolewa baada ya muda wa saa moja.

Lakini kutoka kwake kuliwawezesha Basel kuamka na kufanya hatari zaidi maisha ya Mashetani Wekundu. Baada ya kukaa nyuma kwa muda mrefu United wakiendeleza presha zaidi hapo awali, Basel walianza kucheza zaidi kama timu inayotaka kushinda ili kuweka hai tumaini lao la kutinga 16-bora baada ya CSKA kuifunga Benfica. United walijibu kwa kuziba njia.
 
Mourinho alijaribu kuzima kasi ya wapinzani wake kwa kumwingiza Marcus Rashford, Nemanja Matic na Zlatan Ibrahimovic, Mswedeni huyo akicheza dakika 20 za mwisho katika mechi ya pili baada ya miezi saba.
Lakini ukweli ni kwamba United hawakuonyesha nia ya kucheza kutafuta ushindi baada ya mapumziko na Lang alipofunga goli la ushindi dakika za majeruhi, ilikuwa kama thawabu kwa timu ambayo ilionekana kutafuta goli.

United bado wanaweza kutinga 16-bora kuwa kuifunga CSKA, endapo watafungwa wao basi hatua ya mtoano hawataweza kuingia.
 
Fullbacks za jana zote ni za kuuzwa,darmian na blind ni wachezaji wa ambao hawatakiwi Kuwa old traford...hivi tuna left back mzuri kumzidi Shaw?, ...hatawezi kuwa timu bora kwa hawa fullbacks....tukubali, tukatae, lukaku sio straika wa kuwa old traford,hawafikii hata nusu kwa RVP, RVN, ROONEY, TEVEZ....
 
Mourinho alijaribu kuzima kasi ya wapinzani wake kwa kumwingiza Marcus Rashford, Nemanja Matic na Zlatan Ibrahimovic, Mswedeni huyo akicheza dakika 20 za mwisho katika mechi ya pili baada ya miezi saba.
Lakini ukweli ni kwamba United hawakuonyesha nia ya kucheza kutafuta ushindi baada ya mapumziko na Lang alipofunga goli la ushindi dakika za majeruhi, ilikuwa kama thawabu kwa timu ambayo ilionekana kutafuta goli.

United bado wanaweza kutinga 16-bora kuwa kuifunga CSKA, endapo watafungwa wao basi hatua ya mtoano hawataweza kuingia.
Mkuu hebu nipe sababu ya united kutoingia 16 bora ikiwa watafungwa na Moscow hata goli moja..???
Sababu please..!!
 
Mkuu hebu nipe sababu ya united kutoingia 16 bora ikiwa watafungwa na Moscow hata goli moja..???
Sababu please..!!
Man u ni kama washafuzu tuu maana moscow itatakiwa wapigwe goli kama 16 hivi kwa maana hiyo ilo jambo ni gumu sana
 
Fullbacks za jana zote ni za kuuzwa,darmian na blind ni wachezaji wa ambao hawatakiwi Kuwa old traford...hivi tuna left back mzuri kumzidi Shaw?, ...hatawezi kuwa timu bora kwa hawa fullbacks....tukubali, tukatae, lukaku sio straika wa kuwa old traford,hawafikii hata nusu kwa RVP, RVN, ROONEY, TEVEZ....
Mou sijui kwanini anamchukia Shaw kiasi hiki!
 
Mkuu hebu nipe sababu ya united kutoingia 16 bora ikiwa watafungwa na Moscow hata goli moja..???
Sababu please..!!
Man united wameshafuzu hatua ya 16 bora kwasababu kafunga magoli 10 huku akiruhusu kufungwa goli 2 tu. Hivyo ana goal difference ya 8 huku basel akiwa na goal difference ya magoli 4 na CSKA akiwa na goal difference ya goli -1 (hasi moja) ili man united wasifuzu basi inatakiwa CSKA wamfunge Man united magoli 10 kwa bila na pia Basel washinde magoli 5 kwa bila dhidi ya Benfica.
 
Unayeangalia statistics ni ww mwenywe sie twaelewa Basel kamkung'uta man u tena kamkung'uta kwelikweli
Basel 1 vs Man U 0
Basel 1 Vs man u 0
basel 1 vs Man U 0
Basel 1 vs Man U 0
Basel 1 vs Man U 0
Basel 1 Vs Man U 0
Basel 1 vs Man u 0
Basel 1 vs Man U 0
Basel 1 vs Man U 0
Basel 1 vs Man U 0
Basel 1 vs Man U 0
 
Andreas Pereira showing Man Utd what they’re missing as Valencia fight for title
Kris Voakes


The young midfielder drew the ire of Jose Mourinho in the summer by asking to be loaned out but he has reaped the rewards in Valencia's run to second

There’s a Manchester United midfielder currently enjoying increased game time in a team boasting nine straight victories. His side sit second in the league, four points off top spot, and have rattled up wins of 6-3, 5-0 and 4-0 as part of the run which is the envy of almost the entire continent.

But Andreas Pereira is not contributing to United’s cause as they look to break out of a funk which has seen them lose ground on runaway leaders Manchester City over the last six weeks, rather he is helping an unbeaten Valencia create a buzz in La Liga. The east-coast club are bearing down on Barcelona having left a stumbling Real Madrid scrambling behind, and the Brazilian youngster’s decision to head back to Spain on loan last summer is looking increasingly justified as Barca head for the Mestalla at the weekend for a much-anticipated table-topping encounter.


Pereira’s form has attracted rave reviews, with his six starts and five substitute appearances giving him plenty of opportunity to prove his worth in a succeeding team. His return of one goal and three assists is only the start of the positives to be taken from his performances. Regular displays of skill and maturity have allowed the 21-year-old to have a lasting impact on coach Marcelino, who in turn has given him plenty of opportunities to impress.

After years of rampant underachievement, Valencia have so far spent 2017-18 proving doubters wrong and Pereira is chief among those players who have been a pleasant surprise as Marcelino’s culture-building regime off the pitch and belief in attacking football on it have paid dividends.

simone-zaza-andreas-pereira-valencia_1uzc5xilyygdx1sf3le26r8p1p.jpg


It is all a far cry from his life at Old Trafford, where he racked up a grand total of two starts – both in the League Cup under Louis van Gaal in 2015-16 – before heading for Granada on loan last season. After 37 appearances for the Andalusians, Pereira was not ready to return to being a fringe player and despite having featured heavily as a central midfielder under Jose Mourinho during United’s summer tour he was not sufficiently reassured that regular game-time would be forthcoming.

As a result he jumped at the chance to join Valencia for a season, but Mourinho was far from happy with his midfielder’s choice. “It was a personal decision that I don’t agree with, a decision I don’t think honestly is the best decision for him, a decision that disappoints me,” said the United boss.

“He has the potential to be fighting for a position, opportunities and to be a Manchester United player. His decision can be considered a young player who wants to play every weekend but also a young player that is not ready to fight for something difficult and it’s difficult to play in Manchester United’s midfield.

“But it was his decision and I opened the door. He has a long-term contract and we have the option to bring him back on January 1, so it is not a drama but is a decision which disappoints me a little bit.”

jose-mourinho-manchester-united_w7yxzzicy37t1jgjys32cpl7i.jpg


When asked soon after about Mourinho’s comments, Pereira insisted they did not overly sting him. “It did not hurt,” the youngster told Marca. “I talked to him before coming here. On the one hand I’m happy because he loves me and if he didn’t think I was a good player he would not have wanted me to stay.”

He has since backed up those words with actions and earned plenty of first-team minutes as a result. So well is his spell in Valencia going that he will not be petitioning to return to Manchester in January even if Mourinho comes knocking.

“For me, staying here would be a very good option and would help my game,” he told reporters in October. “I am happy at this club and want to continue here, I always wanted to stay here until June. I know United have an option to take me back in January but right now my mind is focused here.”

Pereira is revelling in the increased responsibility, and while his spell with Granada afforded him plenty of senior experience, his time in Valencia is allowing him to have an effect on a team which right now is flying. Recent injuries for United’s Paul Pogba, Michael Carrick and Marouane Fellaini helped to open the door slightly for Scott McTominay – the man promoted to the first-team squad in Pereira’s stead – but in truth there has been nothing like the same amount of game-time going at the Theatre of Dreams as the Brazilian has played at the Mestalla. Indeed, he has already racked up more first-team minutes for Valencia than he has in three years at United since making his senior debut.

andreas-pereira-manchester-united-valencia-stats_hu960nyn9wv0zo5qzqg7bv5d.png


Moreover he is adding the kind of ability on the ball and maturity in possession which United have appeared to be short of during their patchy recent form ahead of Brighton’s visit to Old Trafford on Saturday. It would be a stretch to say he has been the difference between a 100 per-cent run and the sticky patch which has seen United take seven points from a possible 15 in October and November, but Pereira would surely have played some part.

“I had Herrera and Matic and nobody else on the bench to make the difference,” said Mourinho in explaining his inability to change things dramatically in the second half of the 0-0 draw at Liverpool last month. But it is unlikely that Pereira will be regretting his summer decision on the strength of one or two openings such as the one which perhaps would have presented itself at Anfield.


So well have things gone for him over recent weeks that he has even admitted to Superdeporte that a permanent stay with Los Che would suit him just fine. “Of course, that would be a very good option for me, it would be positive. I’m happy at Valencia,” Pereira explained.


“Valencia is a big club and, seeing our current form, everyone wants to remain here. Everything is going so well, everyone in the squad is happy. We want to maintain this.”

Mourinho might have wanted him to stay at United and show some fight, but Pereira has taken a very different route into a title scrap and on current form nobody could claim that it was the wrong decision for him to make. Indeed, as he prepares to take part in a top-two clash with Barcelona this weekend, one would forgive him if Brighton is the last thing on his mind.

Andreas Pereira showing Man Utd what they’re missing as Valencia fight for title | Goal.com
 
Naipenda sn MAN UTD ila kesho nataka Isipate matokeo positive kwa sababu wameniudhi sana...lemme explain:

Kesho club zote za Manchester(man utd na man city) watavaa "rainbow" au "upinde wa mvua" (kwa kiswahili)..Hii ni alama inayotumiwa kama kiwakilishi cha jamii za MASHOGA NA WATU WANAOFANYA MAPENZI YA JINSIA MOJA pia waliobadili jinsia na upumbavu mwingine mwingine.
Ss hawa wachezaji watavaa hizi rainbow ili kussuport hicho kizazi cha uchafu na nikiwa kama mtu mzima mwenye imani yangu ya dini napinga kabisa swala hili sokwa namna yoyote ile sitaenda kuangalia mechi wala kuwaombea wapate matokeo positive kwasababu wamefanya upumbavu..naomba tuungane kulichukia hili swala la ushoga na upumbavu ambao hawa jamaa wanataka kutuingizia kichwani kwetu.
 
Kiungo wa kati wa Uhispania Juan Mata, 29, anataka kuongeza kandarasi yake katika klabu ya Manchester United na amesema kuwa anaweza kucheza hadi kufika miaka 40.. (ESPN)
 
Back
Top Bottom