lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,198
- 28,080
Inawezekana ulikuwa sawa ulivyokuwa ukilaani mata kuwekwa nje mkuu.. Mata na Isco wametofautiana vichwa tu!Na leo mmeona kiwango cha Mata, msirudie tena kumfananisha na Mkhitaryan.
Inawezekana ulikuwa sawa ulivyokuwa ukilaani mata kuwekwa nje mkuu.. Mata na Isco wametofautiana vichwa tu!Na leo mmeona kiwango cha Mata, msirudie tena kumfananisha na Mkhitaryan.
Hii kwetu ndio tunaiita premature ejaculationGoooooooooooooaaaaaaallllll
Man U 0 vs New 1
Ukiamua kuwa mshangiliaji shangilia yote mkuu..
Kweli hadi mwezi may ni mbali vip kunazilizofika april au zote zipo mwezi november?Hongereni kwa ushindi mnono lakini timu yenu bado inasafari ndefu.
Asante sana, usemacho ni kweli na hata sisi na manager wetu tunalijua hilo,ndio maana tunaendelea kufanya usajili.Hongereni kwa ushindi mnono lakini timu yenu bado inasafari ndefu.
Kila timu ina safari ndefu mkuu,au kuna timu ambayo imeshachukua ubingwa hadi sasa?Hongereni kwa ushindi mnono lakini timu yenu bado inasafari ndefu.
Hongera mkuu...!!!Ukiamua kuwa mshangiliaji shangilia yote mkuu..
Hongera mkuu...!!!Ukiamua kuwa mshangiliaji shangilia yote mkuu..
Hongera mkuu...!!!Ukiamua kuwa mshangiliaji shangilia yote mkuu..
Yaani mnaomba mpira usiishe kwa burdan inayopatikana inakuwa unawaza pale angepeleka kule mara unaona mpira umeenda ulikofikiria Safi sana game ya janavyuma vimeachia
Hahaha mzee umenikumbusha mambo ya Jacobian acha kabisa.Hii kross ya Young kwenye maths kuna topic inaitwa Integral calculus huko unakutana na Jacobian theorem.. kama hujasoma hizo huwezi kuipiga abadani