Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
hahaha karibu jukwaa la Stretford end tunakula pweza gizaninawasalimia kisu ya ngariba, radika, juma jux, mhaya, musolin, shululu
kazi mnayo sio kidogo
hahaha karibu jukwaa la Stretford end tunakula pweza gizaninawasalimia kisu ya ngariba, radika, juma jux, mhaya, musolin, shululu
kazi mnayo sio kidogo
hahahahahMkuu 6 wao wakiwa wamesimama tu?
Vipi bado una mtazamo huo?Pogba ametoka kwenye injury bado hana ile momentum sidhani kama atakuwa na effect sana, chamsingi akina rashford wakaze tu
Sikutarajia sema ndo quality za world class playersVipi bado una mtazamo huo?
Jamaa leo anacheza kwa kujiamini sio mchezoHalafu kuna WAPUMBAVU wanasema Pogba hajui mpira...!