mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
Hata Mata anapiga mpira wa maana pale kati ila ndo hana upepo na Mou kila mechi hata acheze vizuri vipi lazima apigwe subIla tuache utani Pogba ni injini ya man united!!
Hata Mata anapiga mpira wa maana pale kati ila ndo hana upepo na Mou kila mechi hata acheze vizuri vipi lazima apigwe subIla tuache utani Pogba ni injini ya man united!!
Mata hana nyota tu ila ni mchezaji mzuri sanaMpaka anatoka Mata ndio mchezaji alie-cover umbali mrefu uwanjani zaidi ya 10.5km

Mata kapiga mpira wa maana na nimependa leo amekaba sana hadi kipa akirudishiwa mpira alikua anamkimbiza hatariMpaka anatoka Mata ndio mchezaji alie-cover umbali mrefu uwanjani zaidi ya 10.5km
️

Yani angepaisha nadhani angejilaumu msimu mzima!!Lukaku alikua na nia gani sijui na yule kipa maana alifumua bonge la shuti
Ila ipo siku Lindelof atakuja sababisha watu tule maneno yetuKwa line up hii ushindi ni 22/7 ama 3.14. Nawahakikishia tusiposhinda Ntakunya mbezi mpaka kariakoo... Tusiposhinda mnikumbushe