eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
nawasalimia kisu ya ngariba, radika, juma jux, mhaya, musolin, shululu
kazi mnayo sio kidogo
kazi mnayo sio kidogo
umewaza mbali sana ngaribaHongera mwenye timu nzuri inayoongoza ligi.
Bila kumsahau mkuryanawasalimia kisu ya ngariba, radika, juma jux, mhaya, musolin, shululu
kazi mnayo sio kidogo
Sawa wacha tusubiriHaya sasa Martial na Rashford plus pogba ndani tukifungwa au droo leo siangalii tena mechi za hii timu mpaka mwaka unaisha
Jones na Bailly ni majeruhi,Rojo hana match fitnessHivi inampangaje Lindelof na Smalling hapo nyuma??
Mou naona anajitafutia presha mwenyewe sasa.
Ukiamua kuwa mshangiliaji shangilia yote mkuu..Goooooooooooooaaaaaaallllll
Man U 0 vs New 1
Asante nimeelewaJones na Bailly ni majeruhi,Rojo hana match fitness
