Entertainer, ana kandanda ya kuvutiaWelcome Back maestro alhaji Pogba... Fundi anaechukiwa,,
Hongereni kwa Ushindi Fellow Fan's,,,,,
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Entertainer, ana kandanda ya kuvutiaWelcome Back maestro alhaji Pogba... Fundi anaechukiwa,,
Hongereni kwa Ushindi Fellow Fan's,,,,,
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Sana Mkuu,, na sio kuvutia tu,, ana impact pia,,Entertainer, ana kandanda ya kuvutia
Hahaaa umetisha Mkuu,, but nadhani atazoea,, wajenga wanasema hata yle Mu-Yugoslavia(Nemanja Vidic) aloanza kwa tabu sana.. EPL ni ngumu,, na kitu cha mhimu ili mchezaji aimarike basi azungukwe na watu wanaojua,,,Ila ipo siku Lindelof atakuja sababisha watu tule maneno yetu
Mikhitaryan ndio alikua anainyima timu ushindi.Ee Mungu nashukuru sala zangu zimefika, umetusaidia kumuweka nje Mikhitaryan aliyekuwa anatuharibia mpira wetu.
Jamaa guu lake la mavi halina dhamana. Akianzaga kukoki tu hilo guu lake imani inanitoka.Yani angepaisha nadhani angejilaumu msimu mzima!!
Ila leo kajitahidi sana achilia mbali ile error ambayo ingeweza mtokea yeyote!!Ila ipo siku Lindelof atakuja sababisha watu tule maneno yetu
Upenzi Kama Huu Wa Unstable-Fanboys Ndiyo Unaonifanya Kuna Baadhi ya Washabiki Nikawa Siwaquote...
Yaani Kuna Madogo Hapa Timu Yao inapkmuwa Katika Wakati Mgumu Huwa Huwaoni Wanatoweka...
Lakini ikishinda tu! Hao wanamiminika Na Kuwa Wasemaji na Watoa Pongezi Wakubwa Hapa...
Huo Sio Ushabiki!! Kumbukeni Kina Canavaro na Kina Zambrota Waliikimbia Juve! Lakini Trezaguet alishuka nayo Daraja na Akapanda Nayo Daraja...
Kwahiyo Hata Kwenye Wakati Mgumu Support Timu Yako...
Man City Kanipiga 5 na wala Sikuzikimbia Nyuzi...
BTW: Leo 4G naona mumeirudisha.. Namshauri Lukaku asali sana amuombee Pogba Asiumie..
huLALIThe final international break of 2017 is now over and Premier League action makes a welcome return to Old Trafford this weekend as Manchester United host mid-table Newcastle United in a Saturday teatime clash. Jose Mourinho's men will look to claim three points at the Theatre of Dreams in a bid to catch league leaders Manchester City, who sit eight points clear at the top of the table and travel to Leicester City earlier in the day.
ZLATANI BADO YUPO VIZURI
kaka huyu mtu kila siku namtetea huku vibanda umiza huwa nawaambia kauli moja tu ya kwamba hili ni bonge la beki na kinachommaliza ni uwoga tu akIshaZOeA ile atmosphere ya pale england tumsahau smallIng mazimaaaaaaaaaaaaaaaaaIla ipo siku Lindelof atakuja sababisha watu tule maneno yetu
Nafikiri alikuwa emotional, baada ya kutofunga kwa muda.Lukaku alikua na nia gani sijui na yule kipa maana alifumua bonge la shuti
Na mimi nasema ni wapumbavuHalafu kuna WAPUMBAVU wanasema Pogba hajui mpira...!