Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Waooooh nimefurahi sana kuwaona hawa watu
Waooooh nimefurahi sana kuwaona hawa watu
Mbili na nusu usiku kwa saa za Afrika MasharikiGame saa ngap
Hivi we ni mshabiki wa timu gani? Uingereza.Baada ya mwanzo mzuri msimu huu, United wamepata alama nne kutoka kwenye mechi zao nne za mwisho Ligi ya Uingereza na sasa wapo nyuma ya vinara Manchester City kwa pengo la pointi nane kwenye msimamo wa ligi.
Hivi we ni mshabiki wa timu gani? Uingereza.
Ngoja nkuache kufikia hapo ushatolewa nje ya reli umekuja pupa kumbe hamna unachokijua





inabid hasira zetu ziishie kwa hao madogo 6+ with clean sheet
Mkuu 6 wao wakiwa wamesimama tu?inabid hasira zetu ziishie kwa hao madogo 6+ with clean sheet
Kwa line up hii ushindi ni 22/7 ama 3.14. Nawahakikishia tusiposhinda Ntakunya mbezi mpaka kariakoo... Tusiposhinda mnikumbushe
POGBACK
team mbofu mbofu leo mtakiona leo