Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bolton captain Kevin Davies slides in with a crunching tackle on United youngster Tom Cleverly
Davies_2649326.jpg
 
Unconfirmed reports ni kuwa Tom Cleverley anasuspect amevunjika mguu, Jonny Evans naye anaweza kuwa na majeruhi.
 
Naona Bolton wanamleta Tuncay, huyu jamaa uwa anatuotea mara kwa mara.
 
Hahahah nimecheka sana baada ya kuisoma hii comment yako. Kuna group moja nilienda yani washabiki wa Arsenal wanalinganisha wachezaji yote kutaka kujiona wao ni zaidi ya Man Utd....Utasikia Rooney na RVP nani mkali.
<br />
<br />

watu ka hao dawa yao kuwaambia mkali mbwa wa polisi tuuu... Mwishowe watakuja anza ubishi wa wenger na ferguson nani kocha mzuri....leo wamepewa kajigoli ka ngama vinginevyoooo wangekua hawajui ushindi unanukiaje
 
Dah walau nimeona dakika 5 za mwisho...hii si haki..natoka ofcn nakutana na jam ya kufa mtu, nkapita mkato weee ile nafika hm Ngeleja amechukua Megawatt zake..so siwez ona mech..ad nifike Bar mtaa wa nane mechi kwishney...duh! mwaka wa shetan uu wajameni.

Kudos kwa manazi wenzangu....ila naona huu mzik n wa Barca, awa watt tunawaonea tu.
 
hongereni wapinzani, naona mnatoa dozi....let's see what'll happen next weekend....got to watch US open now.
 
Back
Top Bottom