Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mzee wa mapichapicha huyo hakucheza mechi ya roma? Striker asie na miguu?
5852d1b52c5ecbb366b457ebebc07040.jpg
a50258f5e071982c0232136d73ef10be.jpg
 
We litimu lako bovu sana ila mna makelele sana mnaropoka san
 
Mkuu lukaku ni namba 10 kwetu tatizo kaliongelea vizur sana scholes hilo saula
Tatizo ni approach ya kocha especially kweny big games inamfanya lukaku aonekane sio kitu.
Team inapojilinda sana striker hapati mipira ukiangalia zile mechi za mwanzo tulikua tunashambulia na lukaku tulimwona vzr tu.
Mou anajua tatizo ni yy na ndio maana anamtetea sana lukaku.
 
Heshima kwako..

Umenena vyema..approach ya Jose katika big games huwa inawafanya washambuliaji wanaonekana butu.

Marachache sana utakuta Jose a natumia mbinu ya kujilinda katika mechi za kawaida, na hapa utawaona washambuliaje wanang'aa.

Na asikwambie mtu, kama umeshawahi kucheza football..Wewe ukiwa mshambuliaje halafu timu inajilinda sana..kwanza utawahi kuchoka itakubidi na wewe kwa wakati fulani urudi nyuma kuchukua/kutafuta Mpira.Sasa kama mara ya kwanza mtu anakutazama uwanjani anaweza kuhoji huyu forward mzigo ametoka wapi...?

Mimi naamini kiasi fulani kikosi chetu kipo vyema, japo majeruhi yanatuandama mara kwa mara..Jose mourinho apunguze uwoga sana katika big games, unapoweka young,smalling ,Jones,Eric,Antonio hii ni sawa na umeweka beki tano nyuma ambao moja kwa moja ni mfumo wa kujihami.

Pamoja sana...GGMU
 
Phil Jones kaumia juzi,rashford na Bailly wanahitajika na Barcelona
 
Back
Top Bottom