Keep it up man, sio yule Rubamsahsigrbdnjshirwa anatuletea mapicha picha tu ya screen shot bila habariDe Gea: "I think that the players who leave Spain are not paid as much attention as those who stay in Spain. And people tend to forget about us a little. The English culture cares for and loves its players a lot." [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
hiyo modo na hereni ya al-haj pogba vip?
Numbisa hiz qhabar za udaqu. Luiz haondoqiMOURINHO AJIPANGA KUMSAJILI LUIZ
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anajipanga kufanya uhamisho wa kushtukiza kumsajili beki wa kati wa Chelsea David Luiz, kwa mujibu wa Express .
Bosi huyo wa zamani wa Chelsea anaendelea kufuatilia maendeleo ya Mbrazili huyo baada ya kuachwa kwenye kikosi kilichocheza dhidi ya Man United wiki mbili zilizopita.
Numbisa hiz qhabar za udaqu. Luiz haondoqi
Shaw angetafuta timu akacheza kwa mkopo arudishe confidence na kiwango chake ,Young amerudisha kiwango mpaka amarudishwa kwenye kikosi cha EnglandJose Mourinho still believes Luke Shaw has a future at Manchester United even though he has played only twice this season. [Guardian] [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]