Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahha mourinho ktk moja ya intreview zake alishawah kusema anataman kufanyakazi na neymar sasa sijui watakutana wap

Ni vigumu Kwa Morinho Kufanya Kazi Na Neymar... Reason behind:-

[HASHTAG]#Neymar[/HASHTAG] Hahitaji Kitu Katika
Timu Yoyote Kwani Mafanikio Ya Kitimu ameshayapata! Bali kwasasa Anatafuta Self Prestige (Sifa Bimafsi) Kwahiyo...
  • Morinho ni Defensive manager! Ni vigumu Kwa Neymar Kumwambia Adefend Aje Kusaidia Timu Wakati Amekulia Kupiga Chenga na Kushambulia Hata Kama Timu imezidiwa..
  • Neymar anahitaji Only attacking manager Kama Gurdiola na Conte ambao Watamfanya Ashambulie na Kuonesha Kipaji Chake Binafsi..
 
Ni vigumu Kwa Morinho Kufanya Kazi Na Neymar... Reason behind:-

[HASHTAG]#Neymar[/HASHTAG]
Hahitaji Kitu Katika Timu Yoyote Kwani Mafanikio Ya Kitimu ameshayapata! Bali kwasasa Anatafuta Self Prestige (Sifa Bimafsi) Kwahiyo...
  • Morinho ni Defensive manager! Ni vigumu Kwa Neymar Kumwambia Adefend Aje Kusaidia Timu Wakati Amekulia Kupiga Chenga na Kushambulia Hata Kama Timu imezidiwa..
  • Neymar anahitaji Only attacking manager Kama Gurdiola na Conte ambao Watamfanya Ashambulie na Kuonesha Kipaji Chake Binafsi..
Conte anacheza attacking football ?
 
hazard ana kitu gani special pale epl had sasa we jamaa top assist wapo wakina kdb,eriksen,sesc,ozil , silva magoli wakina aguero,alikuwepo costa kane daaaaa hebu niwekee takwimu zake special mbona mnamkuza kwa ku drible na mbio au?
Kachukua uchezaji bora wa ligi mara mbili na kachkua vikombe v2 vya epl haya sema kngne mana Wanaojua mpra walimchagua kua mchezaji bora ww hku kw mtogole unkataa
 
Hata mahrez kachukua hicho we wa kwatumbo unatoka povu makombe hata young anayo
8e263e5d09e1dfff1401f3fa538a47b5.jpg
 
Baba yako huyo ktk ligi kuu ya uingereza kufikia mafanikio yake vinahitajika vitukuu vyako kushuhudia ila wewe hutoweza kumsogelea hata mm na ww tuwe hai miaka 1000 nimemaliza wewe upo kwenye 6 mwenzio 20
 
Labda n baba yako w sio mm
 
Uwezo wa vishabiki wa vitimu vidogo ni mdogo mno hamchelew kutukuna mana hamna mnachojua toka mwanzo nakuambia natakiwa kukuacha mm sio level yako fanya mjadala na wa aston villa au sunderland
Ww hapo Unaongea lugha ya mpra au matusi heb ntoke hko uwezo wako mdg sn
109a5b1d04145819341a12a4613db6cd.jpg
 
Unaona ulivyo na akili za kitoto upo jukwaa la manchester united bado unataka nitoke sasa sijui nihamie sunderland ndo mana nasema uwezo wenu mdogo mashabik watoto wa vitimu vidogo
eaf666a0b1c9ae50d7d68a15fe3a77be.jpg
ceb0395a5d83134ed9d230a05010254a.jpg
 
Back
Top Bottom