Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1510242646344.jpg
 
Anthony Martial: “Off the pitch, I’m a bit shy, I don’t show my emotions that much, but I’m happy, even if you don’t see me smile, I’m still happy. Maybe on the pitch it’s because I’m focused. I’ll try and smile more, but it wouldn’t be natural if I forced it.” [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Safi sana Anthony, nimeipenda sana hii kauli, kuna watu huwa wananilazimisha kujichanganya sana na watu na ku-smile wakati si asili yangu. Huwa siwasikilizi kwa sababu nitatumia nguvu nyingi ku-act maisha, it's better to be who you're regardless to the way watu wanakuchukulia, unaweza jikuta huna amani maishani mwako. Nawapenda sana wanasoka wa majuu bila kujali timu zao, najifunza mengi sana katika maisha kupitia wao...
 
Tatizo la Manutd post Ferguson era ni usajili bomu!

Pesa nyingi hutumika lakini viwango vya wachezaji na makocha ni duni mno!

Mourhnio panga pangua staili ya kucheza haioani na wachezaji alionao.

Kushambulia siyo kujihami ndio vipaji vya wachezaji alionao anaweza kuvitumia

Hayo anayaona, tatizo lake haamini bila Pogbaaaaàaaa timu ni nzuri hasa against top five!

Manutd v. ManCity atajihami labda Pogbaaaaàaaa arudi na akifungwa kurudisha ni kimeo.

Attack ALWAYS best defence!
 
Marcel Desailly: “He looks like he’s not really had the team he wanted, like when you compare with [Pep] Guardiola, who really chose every player he wanted in and out. Jose Mourinho, he’s still dealing with some players that he didn’t really want in his system." [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Post of the year
 
Back
Top Bottom