Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Iyo kaluli ya can't play two Defensive midfielder sidhani kama ni sawa, mbona kuna timu wanatumia na wanapata matokeo, nafkiri pia inategemea aina ya watu unaokutana nao ndo inqkusababisha uchezeshe wakabaji wangapi.

Unaweza Ukawa sahihi wewe iwapo Hao Defensive Midfielders in aina ya Bosquet-Matic au Kante-Matic ambao Wote Wanasifa ya Central attacking Midfielders.. Lakini Herrera-Matic haiwezi Kuachieve anything..
Coz Herrera amelack sifa ya Central attacking Midfielder Bali yeye ni Completely Natural Defensive Midfielder! that is why unaweza Kumchezesha Herrera even Half-Back Four or Fullback na akafiti..
 
To be honest! Tukiongelea Kiushabiki Basi Utanipinga! Na Kuna Tunaoangalia Mpira, na Wanaokodolea Macho TV...

Wanaokodolea Macho TV watakwambia Lukaku Kaflop (He is Nothing)..

Lakini Tunaoangalia Mpira Tunasema Lukaku is the Best.. But Chemistry ya Timu Ndiyo Problems..

Ukweli usiofichika Huwezi Kuwa Na Best Lukaku Pale Utakapo Wachezesha HERRERA na MATIC kwa Wakati mmoja..

Ili Lukaku aweze Kuwa Katika Ubora ni Lazima Kati ya Matic au Hererra mmoja wapo akae juu na acheze mmoja tu.

Kwa aliyewahi kucheza mpira basi ni rahisi kunifahamu nilichokiongelea..

"YOU CAN'T PLAY TWO DEFENSIVE MIDFIELDERS AT RHE SAME TIME EVEN IF YOU CHANGE THEIR ROLE"

Lukaku no box-to-box striker kwahiyi no lazima spate Matic-Mata au Matic-Pogba! Na sio Hererra-Matic au Herrera-Pogba au Herrera-Mata..

mi upande wa matic na herrera sikubishii hata kidogo kuna post yangu nlishasema hawa watu wanacheza aina moja ya style kuwapanga wote ni kosa kubwa mno msimu ulioisha herrera kacheza anapocheza matic kwa sasa haya majukum hana tena yanafanywa na matic lukaku awe vizur lazima pogba arud na namba 10 wa uhakika now mkhitaryan hayupo tena kishakuwa mzululaji ni muda wa kumjaribu mata ila bila shaka hili ni tatizo la kudumu kwa sasa litakuwa namba 10 lazima kurud sokon ukimwangalia mata hana ile energy kama ya wakina coutinho umr umeenda post nyingine nkaandika lile pengo la rooney wa kipind kile pale kati ni tatizo litalotugharimu sijui lakim huko mbele hii timu inahitaj muda mrefu sana kurud kwenye nguvu yake toka aendoke sir alex had sasa hakuna 7 au 11 wa uhakika 3 na 2 the same hata mourinho dirisha hili alipokuwa akisajili nlikuwa najiuliza sana 2 na 3 kwa nn hafikirii?

upo sahihi kwa maelezo yako
 
Madrid kikosi kilichojaa wachezaji wa dunia wakifungwa na timu ya watoto wa miaka 21, ukushangaa hilo? Ukushangaa Chelsea alivyopaki bus mbele ya Man City? Ukushangaa Chelsea yenu kufungwa goli 3 na Roma?

mpira umejaa unafik sana kuna muda watu kama hao ni kuwaangalia tu ukipitia huko kwao kabla ya gem ya united matus yalikuwa kwa kocha wao tu kashinda kawa bora
 
You can't not count him in that while the days are moving. If you give Conte like 5 years to come at Chelsea he will be much success than Juda.
Conte win EPL with foundation formed by Juda. Key players like Costa,Courtous,Fabregas,Matic ,Willian,Pedro were signed by judas lets wait Conte win trophies with his players (Zapacosta,Drinkwater,Bakayoko,Morata,Alonso)
 
To be honest! Tukiongelea Kiushabiki Basi Utanipinga! Na Kuna Tunaoangalia Mpira, na Wanaokodolea Macho TV...

Wanaokodolea Macho TV watakwambia Lukaku Kaflop (He is Nothing)..

Lakini Tunaoangalia Mpira Tunasema Lukaku is the Best.. But Chemistry ya Timu Ndiyo Problems..

Ukweli usiofichika Huwezi Kuwa Na Best Lukaku Pale Utakapo Wachezesha HERRERA na MATIC kwa Wakati mmoja..

Ili Lukaku aweze Kuwa Katika Ubora ni Lazima Kati ya Matic au Hererra mmoja wapo akae juu na acheze mmoja tu.

Kwa aliyewahi kucheza mpira basi ni rahisi kunifahamu nilichokiongelea..

"YOU CAN'T PLAY TWO DEFENSIVE MIDFIELDERS AT RHE SAME TIME EVEN IF YOU CHANGE THEIR ROLE"

Lukaku no box-to-box striker kwahiyi no lazima spate Matic-Mata au Matic-Pogba! Na sio Hererra-Matic au Herrera-Pogba au Herrera-Mata..
Chelsea juzi amekufunga na amemiliki mchezo akiwa na two defensive midfielders

Njoo na hoja nyingine
 
Mkuu Conte akitimiza Miaka 5 basi atawashusha Daraja Trust me!

Mafanikio aliyoyapata last season katu hawezi Kuyapata tena!

Conte the same as Ranieri
Unayasema hayo kwa minajiri ipi?

Huoni tangu ligi imeanza Conte anazungukwa na migogoro na anaelekea kushinda?

Walioporomoa Leicester City ni wamiliki wa team na si Raniel
 
To be honest! Tukiongelea Kiushabiki Basi Utanipinga! Na Kuna Tunaoangalia Mpira, na Wanaokodolea Macho TV...

Wanaokodolea Macho TV watakwambia Lukaku Kaflop (He is Nothing)..

Lakini Tunaoangalia Mpira Tunasema Lukaku is the Best.. But Chemistry ya Timu Ndiyo Problems..

Ukweli usiofichika Huwezi Kuwa Na Best Lukaku Pale Utakapo Wachezesha HERRERA na MATIC kwa Wakati mmoja..

Ili Lukaku aweze Kuwa Katika Ubora ni Lazima Kati ya Matic au Hererra mmoja wapo akae juu na acheze mmoja tu.

Kwa aliyewahi kucheza mpira basi ni rahisi kunifahamu nilichokiongelea..

"YOU CAN'T PLAY TWO DEFENSIVE MIDFIELDERS AT RHE SAME TIME EVEN IF YOU CHANGE THEIR ROLE"

Lukaku no box-to-box striker kwahiyi no lazima spate Matic-Mata au Matic-Pogba! Na sio Hererra-Matic au Herrera-Pogba au Herrera-Mata..
toka pogba ameumia lukaku kapotea ngoja pogba arudi uone makali yake yatarudi palepale
 
Conte win EPL with foundation formed by Juda. Key players like Costa,Courtous,Fabregas,Matic ,Willian,Pedro were signed by judas lets wait Conte win trophies with his players (Zapacosta,Drinkwater,Bakayoko,Morata,Alonso)
Chelsea squad which Conte is forming now it will be very strong and win more trophies if Abramovich won't sack Antonio. The reason is, Chelsea now have the players with not big ages. They might not get some more trophies for a short time but in the years to come they will.

If Roman will keep Antonio as manager at Chelsea for couple of years, Chelsea will be unstoppable team.
 
Agree with you
 
Chelsea juzi amekufunga na amemiliki mchezo akiwa na two defensive midfielders

Njoo na hoja nyingine

Lakini Ni Kosa langu KukuQuote Cheap Fanboy Kama wewe... Inaonesha Wazi Hujawahi Hata Kucheza Mechi Za Mchangani...

Hivi Nyuma Ya [HASHTAG]#Morata[/HASHTAG] Kulikuwa na FABI, BAKAYOKO na HAZARD.. Hawa Ni Defensive Midfielders???

Labda Kwanza Tuanze na Lugha Ya Kimpira! Unafahamu mini Kuhusiana na DEFENSIVE/HOLDING MIDFIELDER?
CENTRAL ATTACKING MIDFIELDER?
WIDE FORWARD?
CENTRE FOWARD?

Ukija na Majibu ndiyo Nitajua Pa Kuanzia..
 
You Don't Know What You're talking and Whom you're quoting....

Rejea Comment Yangu [HASHTAG]#79814[/HASHTAG] Kwa Msaanda Zaidi..
Unajua sioni point yako kubwa ktk kusema kua Utd ikichezesha defensive midfielders wawili hapo Kati ndio shida yao. Hii mi nasema hapana.

Km unaongelea haya hasa kutokana na game ya Chelsea na Utd kuna vitu vingi Utd walikua poor ndio mana mids zao zikawa poor.

So sioni hoja yako ktk hilo
 
Same Brainless as Your Fellow Chelshit Fanboy..
 
Chelsea squad which Conte is forming now it will be very strong and win more trophies if Abramovich won't sack Antonio. The reason is, Chelsea now have the players with not big ages. They might not get some more trophies for a short time but in the years to come they will.

If Roman will keep Antonio as manager at Chelsea for couple of years, Chelsea will be unstoppable team.

Joke of the year! Keep dreaming with your False hope..
 
Same Brainless as Your Fellow Chelshit Fanboy..
Usikimbilie kutoa kauli za ajabu.

Jaribu kutetea hoja yako ktk.

Km unaongelea Utd ktk mchezo wa juzi walikua na attacking mid wao Mkhitiryan na walikua na defensive mids pia km Chelsea ilivokua na Kante na Bakayoko.

Hoja yako iko wapi hapo?

Kumbuka nimekwambia Utd ilikua na matatizo zaidi ya mids.
 
Back
Top Bottom