Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

c8d551129b54af03ea3c591f2d5c7b41.jpg

Nyani haoni Kunduye........

Dadeki

kwani nae alikufunga?
 
We umekuja juzi hapa Jf ndio mana naona unatokwa na mapovu sn na lugha chafu sn.

Wenzako kina Nzi Belo RRONDO herrera na wale wake zangu kina everlenk na cute b huwezi waona wanacommet povu au uchafu namna hii

hahahhahha juz ee tembelea post za wenzio wanachoandika mara zwazwa sijui bangi za chooni hapa sisi hatunaga hizo kauli imetubid kutunia baada ya kuona mashambulizi yenu nipo kitambo sana humu hata huko chelsea nakujaga sana tu sijawahi kumtolea mtu lugha chafu kimario na mentor hata kungurumjanja tunafanya nao mijadala tu mi Ntunzu sipendi nikukwaze kama nimekukosea sorry.
 
huyo jamaa ndio ananinunulia bundle au ndo mwenye hii simu?
unaongea vitu irrelevant kabisa😀
sio kwamba ni ushindi wa kwanza na si mara ya kwanza kuwafundisha mpira mazwazwa nyie nimsubiri Liver wa nini? kwahiyo ndio umeenda kutuitia Liver sio? ina maana wewe umetushindwa nashkuru kwa kuonyesha kukubali kwamba hamna mpira zaidi ya kelele tu za 4G mnapo waokota mapopoma wenzenu mwehu we.

Hili povu ukasafishie uzi wenu uliojaa mabuibui kwa kukosa wachangiaji.
 
We umekuja juzi hapa Jf ndio mana naona unatokwa na mapovu sn na lugha chafu sn.

Wenzako kina Nzi Belo RRONDO herrera na wale wake zangu kina everlenk na cute b huwezi waona wanacommet povu au uchafu namna hii
Ha ha ha! Kwani uongo Rent Boys kwa United ni a wee club tu! Kwa hiyo radika yupo sahihi kabisa.

Naona mlijiramba midomo kweli mliposhinda! Maana kile kichapo kutoka kwa wabwia unga wa Roma kilikuwa siyo mchezo!
 
Ntunzu bana yaishe just a joke
Poa poa pamoja sn
hahahhahha juz ee tembelea post za wenzio wanachoandika mara zwazwa sijui bangi za chooni hapa sisi hatunaga hizo kauli imetubid kutunia baada ya kuona mashambulizi yenu nipo kitambo sana humu hata huko chelsea nakujaga sana tu sijawahi kumtolea mtu lugha chafu kimario na mentor hata kungurumjanja tunafanya nao mijadala tu mi Ntunzu sipendi nikukwaze kama nimekukosea sorry.
 
Ha ha ha! Kwani uongo Rent Boys kwa United ni a wee club tu! Kwa hiyo radika yupo sahihi kabisa.

Naona mlijiramba midomo kweli mliposhinda! Maana kile kichapo kutoka kwa wabwia unga wa Roma kilikuwa siyo mchezo!
Hahahaha

Mdudu upo? Leo hujaenda majaani mitaa ya Keko dampo?

Naona mmeukimbia uzi wenu mnachungulia tu kwa mbali
 
“I thought they got killed in midfield. Jose Mourinho, since the Liverpool game, has talked about not being able to freshen it up. I thought Herrera, Matic and Mkhitaryan got absolutely ambushed.

(N’Golo) Kante was doing his job brilliantly, (Tiemoue) Bakayoko was running off him, (Eden) Hazard and (Cesc) Fabregas were dropping in and controlling the match. United were just well short in that area. If you dominate midfield in the big games, you’re in business and Chelsea did.”

Gary Neville, Sky Sports
 
Paul Pogba on Anthony Martial: “Anthony is a big, big, big talent. He’s a talented player – one of the best players I have ever seen or trained with. He is still young and is going to improve. He will improve a lot and you are going to see even more of Anthony, I’m sure.” [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
 
Jose Mourinho will spend the international break attending games in Europe to assess potential targets. [Sky Sport] MUFC
 
Back
Top Bottom