radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Lakini Ni Kosa langu KukuQuote Cheap Fanboy Kama wewe... Inaonesha Wazi Hujawahi Hata Kucheza Mechi Za Mchangani...
Hivi Nyuma Ya [HASHTAG]#Morata[/HASHTAG] Kulikuwa na FABI, BAKAYOKO na HAZARD.. Hawa Ni Defensive Midfielders???
Labda Kwanza Tuanze na Lugha Ya Kimpira! Unafahamu mini Kuhusiana na DEFENSIVE/HOLDING MIDFIELDER?
CENTRAL ATTACKING MIDFIELDER?
WIDE FORWARD?
CENTRE FOWARD?
Ukija na Majibu ndiyo Nitajua Pa Kuanzia..
unamuonea mtoto wa watu wao uzur wa timu yao kipimo ni kuifunga united kasahau hao wakat city anawatawanya palepale kwao walikuwepo.