radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Conte ktk career yake ya ukocha ana muda gani ukilinganisha na Mou?
mswali gani haya kwani guadiola na ile barcelona alikuwa na muda gani? au mourinho na porto
Conte ktk career yake ya ukocha ana muda gani ukilinganisha na Mou?
Jibu umelipata nafikiri sasa kwako imebaki ubishi tumswali gani haya kwani guadiola na ile barcelona alikuwa na muda gani?
kapumzike jukwaani kwako ulishashinda mechi jumapili sioni kwa nn unahangaika huku had leo ishakuwa zilipendwa kama porto ile inabeba uefa kikos kizima kwa muda ule hakina mchezaj level za teves unaomba miaka mi 5 ipo shidaJibu umelipata nafikiri sasa kwako imebaki ubishi tu
Jibu ushapata naona sasa imebaki kelele tukapumzike jukwaani kwako ulishashinda mechi jumapili sioni kwa nn unahangaika huku had leo ishakuwa zilipendwa kama porto ile inabeba uefa kikos kizima kwa muda ule hakina mchezaj level za teves unaomba miaka mi 5 ipo shida
Jibu ushapata naona sasa imebaki kelele tu
Anakushangaza wewe ila wengine hatushangai...Huyu kocha anashangaza, unanunua wachezaji wa bei mbaya, mishahara mikubwa halafu unaishia kupaki basi.
Mourinho sio kocha ni msimamizi wa mazoezi tuHuyu kocha anashangaza, unanunua wachezaji wa bei mbaya, mishahara mikubwa halafu unaishia kupaki basi.
Tuache na timu yetu mkuu! Mourinho anatuharibia timu...atimuliwe kama vipi! Haiwezekani ampange Mkhitaryan wakati Mata yupo, atakuwa bado anaendeleza bifu la tangu Chelsea. Mkuu Khalifa AM na Jux juma mnasemaje...
Yani kila siku ya mechi naishia kushangilia clean sheet na draw tu...haiwezekani sisi mashabiki tumekataa!!!
jamaa anakwambia conte apewe maiaka mi 5 ili afanikiwe wakat alikuwa timu kubwa juve kashindwa hata kunyakua uefa huyo mourinho sijui porto na inter ilimchukua muda gan kubeba uefa hizo ndoo kaushind kajuz kamewachizisha sana mara oo master wa mbinu wakat kazabuliwa vya kutosha tu tena hapo hapo kwao
Huyu kocha anashangaza, unanunua wachezaji wa bei mbaya, mishahara mikubwa halafu unaishia kupaki basi.
Conte hana uwezo wakufika nusu fainali ya Champions league sembuse kufika fainali tu.
Mourinho sio kocha ni msimamizi wa mazoezi tu
jamaa kanishangaza sana anapotaka kumshusha mourinho ajabu sana hii kitu kwanza mpya
Huyu kocha anashangaza, unanunua wachezaji wa bei mbaya, mishahara mikubwa halafu unaishia kupaki basi.
mi lukaku sina wasiwasi nae miezi yeke mibovu ndo hii hata msimu ule yupo everton miez kama hii alikuwa anapotea sana ila katkat ya mwez huu atarud tu naiman nae kubwa mno hawez kuniangusha akiba ya maneno ni muhimu mno wache wamponde tu
Mourinho sio kocha ni msimamizi wa mazoezi tu
Iyo kaluli ya can't play two Defensive midfielder sidhani kama ni sawa, mbona kuna timu wanatumia na wanapata matokeo, nafkiri pia inategemea aina ya watu unaokutana nao ndo inqkusababisha uchezeshe wakabaji wangapi.To be honest! Tukiongelea Kiushabiki Basi Utanipinga! Na Kuna Tunaoangalia Mpira, na Wanaokodolea Macho TV...
Wanaokodolea Macho TV watakwambia Lukaku Kaflop (He is Nothing)..
Lakini Tunaoangalia Mpira Tunasema Lukaku is the Best.. But Chemistry ya Timu Ndiyo Problems..
Ukweli usiofichika Huwezi Kuwa Na Best Lukaku Pale Utakapo Wachezesha HERRERA na MATIC kwa Wakati mmoja..
Ili Lukaku aweze Kuwa Katika Ubora ni Lazima Kati ya Matic au Hererra mmoja wapo akae juu na acheze mmoja tu.
Kwa aliyewahi kucheza mpira basi ni rahisi kunifahamu nilichokiongelea..
"YOU CAN'T PLAY TWO DEFENSIVE MIDFIELDERS AT RHE SAME TIME EVEN IF YOU CHANGE THEIR ROLE"
Lukaku no box-to-box striker kwahiyi no lazima spate Matic-Mata au Matic-Pogba! Na sio Hererra-Matic au Herrera-Pogba au Herrera-Mata..