Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nakushangaa ww unaesema hazard mbovu kisa goals n assist

ndo maana nimekupa mfano wa best player bila hizo sifa zako watu wanaangalia mchango katka makombe,,mchango ni wa namna nying

unaweza kunionesha mahali nimeandika hazard mbovu au unatengeneza ka mada kako mi nimesema ni mchezaj wa kawaida
 
Punguza kisirani mkuu,tunajua ww ni mdogo ake Jones,maana alichokuwa anafanyiwa na hazard ni aibu

mi sina hasira mkuu hazard ni mchezaj wa kawaida hilo lipo wazi sio vile mnataka kutulazimisha
 
hata ozil yupo ktk hiyo list sio hazard tu
sasa we kwa akili yako Ozil ni mchezaji mdogo? unajua kwamba Ozil amewazidi kwa assits Xavi+Iniesta combined? Ozil ni mchezaji mkubwa na lazima awepo katika hiyo list lakini siyo hao akina Rashford na Martial yani they have a very long way kufikia uwezo wa Eden Hazard
 

daaaaaaaa hatar sana
 
aiseeee hapa ni KDB NA SILVA ni shida
bila ya shaka umeanza kuangalia EPL msimu ama la unataka kuhamisha mada ya kufungwa na mbinu mbovu za Mourinho kupeleka kwenye comparison za wachezaji.
Eden Hazard ameisaidia Chelsea kuchukuwa EPL mara mbili,Europa League moja na Capital one Cup moja katika misimu mitano aliyokaa Chelsea so far.
Pia amechukuwa tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa EPL mara moja na amechukuwa tuzo ya mchezaji bora wa EPL mara moja.
Naomba unambie kuhusu hao watu wako unaosema wanamzidi uwezo kabla sijaenda kwenye magoli,assits,take ons,dribbles,chances created na sector zengine.
 
tuanze na neymar au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…