OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Uuuwiiii hii sio mutu ya kawaida ..hii itakuwa ni roboti aisee ...Robot Ngolo...[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Okota mwenyewe Dugia [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Eti Matic fundi nywiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hicho kinaitwa kichwa mparazo siku akipiga Lukaku nakunya sebuleni
Mhindi coco na mjukuu wa Mama ndalichako [emoji12] [emoji12]
The tactician
Achana na huyo hajui kz za watu uwanjaniMagoli si kipimo pekee kwa mchezaji aina ya Hazard, angalia majukumu yake mengine. Angekuwa Central striker hapo ningekuelewa
Mkuu Kna timu 20 znashiriki pale,,,Target ilikuwa EPL ....kwa moto wa city ...ndo basi tena
Hahaha pambanaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nashindwa hata kurud hom nimemtambia wife japo yeye ni arsenal sijui nani leo atamtuliza mwenzie mweeee
Sijasema majina. Nimesema hivi angalia majukumu ya mchezaji. Isitoshe huwezi kuongea la maana leo maana una depressionneymar anacheza namba ngap achana na mess + ronaldo
Sijasema majina. Nimesema hivi angalia majukumu ya mchezaji. Isitoshe huwezi kuongea la maana leo maana una depression
Ya kabati au.!!game droo hii
Unathubuje kusema Chelsea ni timu mbovu.? Unapata wapi huo ujasiri?kweli sisi bado kama tunafungwa na litimu libovu kama hili li chelsea city tutamuweza kweli
Unathubuje kusema Chelsea ni timu mbovu.? Unapata wapi huo ujasiri?
punguza mihemko ya kike upeo wako naona hauko sawa unamfananisha hazard na wakina martial na rashfordhazard nae mchezaji na ww? kawazid wa kina martial na rashford ubingwa wa epl na kujirusha tu pale chelsea mchezaj mlie nae ni cante tu
punguza mihemko ya kike upeo wako naona hauko sawa unamfananisha hazard na wakina martial na rashford
Kuchukua ligi tena labda mpka babu fargie arudi [emoji23] [emoji23] [emoji23] la sivyo sahau kabisa.Kwa mwendo huu Taji la EPL msimu huu tusahau
Dah basi tena, tumenyang'anywa 3 points hivi hivi
Hahaha na bado ujakutana naye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunayekimbizana nae ni moto wa gas mkuu..
Tuna timu nzuri ila kocha sijui mipango yake
Ukiona hizo "timu mbovu" zinakufunga basi ujue wewe ni m'bovu zaidi ...bado una safari ndefu sana kuijenga timu lako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi mwenyewe nshakata tamaa kitendo cha kuruhusu kufungwa na timu mbovu bado tunahitaj kuijenga timu ubingwa hamna
Kuchukua ligi tena labda mpka babu fargie arudi [emoji23] [emoji23] [emoji23] la sivyo sahau kabisa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe ulitaka uzipeleke wapi..
Hahaha na bado ujakutana naye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona hizo "timu mbovu" zinakufunga basi ujue wewe ni m'bovu zaidi ...bado una safari ndefu sana kuijenga timu lako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante Ruta..
Hii inaitwaaa pisha njiaaaa.....