Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hazard nae mchezaji na ww? kawazid wa kina martial na rashford ubingwa wa epl na kujirusha tu pale chelsea mchezaj mlie nae ni cante tu
We jamaa unanifurahisha sana. Ila kawaida yenu bhana. Hii yote baada ya kufungwa
 
We jamaa unanifurahisha sana. Ila kawaida yenu bhana. Hii yote baada ya kufungwa

mkuu ntajie misimu mi 3 ambayo hazard kawa kwenye form katupia goli zaid ya 15 au hata 10 na assist 10 tukikwambia ni mchezaj wa kawaida usikatae
 
Timu bovu kweli kweli...msimu uliyopita alikukaza 4 darajani akakudungua tena ka moja leo tena kapiga ka moja tu.....possesion inasoma ngapi.

kufungwa sio kwamba mzur barcelona alipigwa 5 na bilbao kwenye ubora wake madrid kapigwa 1 na betis kwake je ni timu nzur?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…