1508785201267.jpg
 
Mimi ni shabiki wa Man Utd na ni shabiki mzuri na ninaipenda Man Utd Kindakindaki.Tangu kuondoka kwa Fergie Man Utd tumekuwa tunahangaika na timu yetu hasa kwa makocha.Baada ya Fergie alikuja Moyes akatimuliwa akaja Van Gal akaondoka akaletwa Mourinho.

Katika hao makocha wote afadhali hata Moyes nilikuwa na matumaini kuliko wengine lalini wengi hawakumpenda.Sasa tunae Mourinho na tangu zinaanza fununu kuwa atakuja Man utd nilikuwa napinga kwasababu si kocha mwenye uwezo wa kufundisha Timu kubwa ya man Utd.Lakini wengi walimkubali lkn yanayoendelea ni ushahidi tosha wa uwezo wa Mourinho.
  1. ni kosa kubwa sana kumfananisha david moyes mbele ya louis van gaal na mourinho kimafanikio ya mpira wa miguu na malaika wa mpira wa miguu ameshakuandikia dhambi, david moyes hakuwa na mvuto hata kwenye vyumba vya kubadilishia nguo
  2. pia bado sijakufahamu unaposema mourinho hana uwezo wa kufundisha timu kubwa kama manchester united, inawezekana wakati mourinho anafundisha timu kubwa duniani yenye mafanikio inayoitwa real madrid bado ulikuwa hufuatilii ligi ya hispania.
  3. pia inawezekana wakati mourinho anafundisha porto na anaifunga timu kubwa ya manchester united kwenye mtoano bado ulikuwa hufuatilii mpira wa miguu.
  4. pia inawezekana wakati mourinho anakuja kuifundisha timu ndogo ya chelsea na anaipa ubingwa wa ligi kuu baada ya miaka 50 tena mara mbili mfululizo inawezekana mkuu ulikuwa unashabikia timu ya arsenal ambayo ilitoka kuchukua ubingwa bila ya kufungwa kama sijakosea.
  5. pia inawezekana wakati mourinho anawapa ubingwa wa ulaya timu ya inter milan ulikuwa unashabikia barcelona ya guardiola.
 
Hao wana chuki na mou tu ila hawana LA kusema,mara oo mou anafuja pesa ukiwauliza kama za mangala?hawakujibu, wengine wanakwambia mou hana future,huku akimpanga lingaard wanamtaka rashford bila kukumbuka hao wote wananuka maziwa, wengine wanadai mbinu zake zinaboa huku hawajui lengo kukojoa,iwe kwa wahaya kwa mkeo puchu lengo bao
 
Hebi niambie unatumia pesa nyingi kumsajiri Lindelof,unatumia pesa nyingi kumsajiri Lukaku halafu unamtegemea mchezaji kama Fellain, Smalling, eti wakusaidie uje uchukue ubingwa mbele ya Man City ambao hakik wamekamilika kila idara na kocha wao ni bora kabisa.
  1. kwenye mechi 9 tulizocheza za ligi kuu victor lindelof hajaanza mechi hata moja, umeona wapi mchezaji tegemeo kuanzia benchi. miaka 14 iliopita manchester united walilipa pound million 30 kwa ajili ya rio ferdinand na bado alikuwa anafanya makosa akiwa uwanjani.jaribu kurejea mechi yetu dhidi ya manchester city tuliowafunga magoli 4 kwa 3 kwenye msimu wa 2009/2010. naamini ni suala la muda tu kabla ya victor lindelof hajatunyamazisha, au ulitaka tumsajili dejan lovren wa liverpool ?
  2. misimu 3 iliopita romelu lukaku akiwa everton na west bromwich alifunga magoli mengi kuliko mchezaji yeyote yule anayechezea timu kubwa ya manchester united ambayo haistahili kufundishwa na mourinho kwa maneno yako, unaposema bei ya lukaku haiendani na uwezo wake wa kimpira pia ni dhambi kubwa sana,najua wengi wetu tunamchukia lukaku kwa sababu hajui kupiga chenga kama morata na aguero, hata drogba hakuwa na mpira wa rangi lakini alikuwa ni mfungaji hatari, kwenye mechi 9 lukaku amefunga magoli 7 ila bado unamkejeli, au ulitaka tumsajili karim benzema kwa sababu ni handsome?
  3. mpaka anaumia paul pogba hakuna mechi hata moja ambayo marouanne fellaini aliyoanza kwenye kikosi cha kwanza hivyo basi naye si mchezaji tegemeo kama unavyotuaminisha, pia msimu huu fellaini ameonyesha tofauti kubwa sana ya kimpira ukilinganisha na misimu iliopita hivyo basi unapaswa kufahamu ya kwamba mwanadamu anabadilika. fellaini wa msimu huu kabla hajaumia alicheza dakika nyingi kuliko herrera ambaye ni mchezaji wetu bora wa msimu uliopita. unapaswa uache mazoea, au ulitaka tumsajili jordan henderson wa liverpool ?
  4. chris smalling naye ni hivyo hivyo anaanza kikosi cha kwanza kwa sababu eric bailly ni majeruhi, smalling ni miongoni mwa wachezaji ambao wamefaidika sana na uwepo wa mourinho kwenye timu na nimekwambia tatizo lako una mazoea, bado unafikiri smalling ni yule yule aliyecheza kwenye mechi tuliofungwa goli 4 na chelsea.niliwahi kuandika humu siku moja ya kwamba msimu uliopita chini ya jose mourinho alifanikiwa kujenga timu kwa 60% na asilimia 40% ni eneo la ulizi. tumecheza mechi nyingi sana chini ya smalling na tumeshinda, jaribu kurejea final ya uerope dhidi ya ajax lakini kama smalling hafai kucheza manchester united basi tuanzishe kampeni ya kumshauri mourinho amsajili joel matip wa liverpool au unaonaje?
  5. pia inawezekana pia umesahau ya kwamba kikosi cha manchester city kinaundwa na wachezaji kama john stones ambaye alinunuliwa kwa pound million 50, fabian delph, fernandinho, mangala aliyenunuliwa pound million 40, sterling aliyenunuliwa kwa pound million 50. kuna mhenga mmoja alisema unapokuwa gerezani unakoga na wenzako pindi utakapodondosha sabuni yako basi usiiokote.(idd amin)
 
Hivi wachezaji kama Aguero,Gabriel Jesus, Otamendi unaweza kuwananisha na nani pale United?Ukiangalia mchezaji mmoja mmoja ni wachezaji wachache sana ambao wanafaa kuendelea kuichezea Man Utd.De Gea,Rashford,Valencia, hawa afadhali wanastahili kuwepo pale.
  1. miaka 16 iliopita timu ya real madrid iliwahi kuwa na wachezaji kama zidane, figo,carlos,casillass, guti, raul, morientess, hierro, salgado, makelele, mcmanaman, helguera, karanka,pavon, santiago solari lakini cha kushangaza walimaliza nafasi ya 3 kwenye ligi kuu ya hispania.inawezekana manchester city wana wachezaji bora wengi kama unavyoamini lakini naamini manchester united tuna wachezaji mahodari wengi.
  2. jose mourinho timu zote alizozipa mafanikio alifanikiwa kwa sababu ya kuwa na wachezaji mahodari wengi na si wachezaji bora na ndio maana hakukataa offer ya kufundisha manchester united, alipokuwa inter milan aliwakuta cordoba, julio cesar,lucio, zanetti,maicon, matterazi, walter samuel, chivu, stankovic, pandev,motta, cambiasso, mariga,vieira, muntari, ballotelli na wachezaji bora walikuwa ni wesley sneijder, etoo na militto.kwa kuangalia mazoea hakuna mchezaji hata mmoja utakayemuona ni bora lakini kazi waliofanya ilikuwa ni zaidi ya barcelona timu iliokuwa na wachezaji bora 9.
  3. mpaka sasa nimeangalia mechi moja tu ya manchester city walipocheza na chelsea, nilichojifunza kwenye mechi ile ni kwamba kelvin de bruyne peke yake ndiye anayeleta utofauti wa timu mbili zilizopo mji wa manchester. david silva, sterling, sane, bernardo silva wote wanacheza mpira wa kawaida sana ukilinganisha na kelvin de bruyne.
  4. ina maana phil jones huyu wa msimu huu hamuwezi kimpira john stones?
  5. ina maana fernandinho ni bora kuliko nemanja matic?
  6. ina maana kwenze neo la ulinzi otamendi anamzidi eric bailly?
  7. ina maana kwenye eneo la midfield msimu huu unamchagua david silva mbele ya pogba?
  8. kuna mhenga mmoja aliwahi kusema Mguu wa mtu mpumbavu ndio unaoweza Kuazimwa ili kupima urefu wa Shimo la Nyoka.
    TELEMMGLPICT000139286267_trans_NvBQzQNjv4BqsXJ4x1hHApqw7ff8y1ZSzX4qspGOuoyC8_K7Jp9jerE.jpeg
    naitafuta sura ya john stones tafadhali atakayeiona anionyeshe na mimi
 
Tukirudi kwenye mechi kadhaa tulizocheza EPL na champions league utaona ni jinsi gani timu ilikuwa ina strugle na hata katika mechi tulizoshinda au kutoa sare tulibahatisha na si kwakuwa tuna timu nzuri.Wapinzani wetu wanaposema tunashinda mechi zile tunazocheza na timu ndogo hawakosei ila Man Utd fans hatupendi kuusikia ukweli huu nchungu.Tunapoambiwa timu yetu si nzuri tunatoa maneno yote ya kejeli na kusahau huo ndiyo ukweli.Ukweli utakusaidia kujua mapungufu yako ili ujirekebishe.
  1. kwenye mechi 3 tulizocheza msimu huu wa ligi ya mabingwa tumeshinda mechi zote, tumeruhusu goli moja na tumefunga mabao nane lakini bado unasema tumebahatisha.
  2. msimu uliopita timu ndogo kama west ham, swansea na everton tulitoka nazo suluhu tukalalamika sana, cha kushangaza msimu huu zote tumezifunga pia kuna watu wanalalamika.
  3. liverpool msimu uliopita alikusanya pointi nyingi sana dhidi ya timu kubwa lakini aliishia nafasi ya 4.
  4. kila mwalim ana falsafa zake za ufundishaji,nashindwa kuelewa kwa nini tunamlazimisha mourinho acheze mpira wa kumiliki zaidi. kama kumiliki mpira ni mafanikio basi arsenal wangelikuwa mbali sana kimafanikio.
 
  1. kwenye mechi 9 tulizocheza za ligi kuu victor lindelof hajaanza mechi hata moja, umeona wapi mchezaji tegemeo kuanzia benchi. miaka 14 iliopita manchester united walilipa pound million 30 kwa ajili ya rio ferdinand na bado alikuwa anafanya makosa akiwa uwanjani.jaribu kurejea mechi yetu dhidi ya manchester city tuliowafunga magoli 4 kwa 3 kwenye msimu wa 2009/2010. naamini ni suala la muda tu kabla ya victor lindelof hajatunyamazisha, au ulitaka tumsajili dejan lovren wa liverpool ?
  2. misimu 3 iliopita romelu lukaku akiwa everton na west bromwich alifunga magoli mengi kuliko mchezaji yeyote yule anayechezea timu kubwa ya manchester united ambayo haistahili kufundishwa na mourinho kwa maneno yako, unaposema bei ya lukaku haiendani na uwezo wake wa kimpira pia ni dhambi kubwa sana,najua wengi wetu tunamchukia lukaku kwa sababu hajui kupiga chenga kama morata na aguero, hata drogba hakuwa na mpira wa rangi lakini alikuwa ni mfungaji hatari, kwenye mechi 9 lukaku amefunga magoli 7 ila bado unamkejeli, au ulitaka tumsajili karim benzema kwa sababu ni handsome?
  3. mpaka anaumia paul pogba hakuna mechi hata moja ambayo marouanne fellaini aliyoanza kwenye kikosi cha kwanza hivyo basi naye si mchezaji tegemeo kama unavyotuaminisha, pia msimu huu fellaini ameonyesha tofauti kubwa sana ya kimpira ukilinganisha na misimu iliopita hivyo basi unapaswa kufahamu ya kwamba mwanadamu anabadilika. fellaini wa msimu huu kabla hajaumia alicheza dakika nyingi kuliko herrera ambaye ni mchezaji wetu bora wa msimu uliopita. unapaswa uache mazoea, au ulitaka tumsajili jordan henderson wa liverpool ?
  4. chris smalling naye ni hivyo hivyo anaanza kikosi cha kwanza kwa sababu eric bailly ni majeruhi, smalling ni miongoni mwa wachezaji ambao wamefaidika sana na uwepo wa mourinho kwenye timu na nimekwambia tatizo lako una mazoea, bado unafikiri smalling ni yule yule aliyecheza kwenye mechi tuliofungwa goli 4 na chelsea.niliwahi kuandika humu siku moja ya kwamba msimu uliopita chini ya jose mourinho alifanikiwa kujenga timu kwa 60% na asilimia 40% ni eneo la ulizi. tumecheza mechi nyingi sana chini ya smalling na tumeshinda, jaribu kurejea final ya uerope dhidi ya ajax lakini kama smalling hafai kucheza manchester united basi tuanzishe kampeni ya kumshauri mourinho amsajili joel matip wa liverpool au unaonaje?
  5. pia inawezekana pia umesahau ya kwamba kikosi cha manchester city kinaundwa na wachezaji kama john stones ambaye alinunuliwa kwa pound million 50, fabian delph, fernandinho, mangala aliyenunuliwa pound million 40, sterling aliyenunuliwa kwa pound million 50. kuna mhenga mmoja alisema unapokuwa gerezani unakoga na wenzako pindi utakapodondosha sabuni yako basi usiiokote.(idd amin)
hahahahahahahahahahahahaha we jamaa umenikonga sana moyo wangu aisee hahahaha
naongezea hapo lindelof bonge la kitasa ila kinachomponza ni uwoga tu bado hajazoea ile atmosphere anayokutana nayo uwanjani
 
  1. miaka 16 iliopita timu ya real madrid iliwahi kuwa na wachezaji kama zidane, figo,carlos,casillass, guti, raul, morientess, hierro, salgado, makelele, mcmanaman, helguera, karanka,pavon, santiago solari lakini cha kushangaza walimaliza nafasi ya 3 kwenye ligi kuu ya hispania.inawezekana manchester city wana wachezaji bora wengi kama unavyoamini lakini naamini manchester united tuna wachezaji mahodari wengi.
  2. jose mourinho timu zote alizozipa mafanikio alifanikiwa kwa sababu ya kuwa na wachezaji mahodari wengi na si wachezaji bora na ndio maana hakukataa offer ya kufundisha manchester united, alipokuwa inter milan aliwakuta cordoba, julio cesar,lucio, zanetti,maicon, matterazi, walter samuel, chivu, stankovic, pandev,motta, cambiasso, mariga,vieira, muntari, ballotelli na wachezaji bora walikuwa ni wesley sneijder, etoo na militto.kwa kuangalia mazoea hakuna mchezaji hata mmoja utakayemuona ni bora lakini kazi waliofanya ilikuwa ni zaidi ya barcelona timu iliokuwa na wachezaji bora 9.
  3. mpaka sasa nimeangalia mechi moja tu ya manchester city walipocheza na chelsea, nilichojifunza kwenye mechi ile ni kwamba kelvin de bruyne peke yake ndiye anayeleta utofauti wa timu mbili zilizopo mji wa manchester. david silva, sterling, sane, bernardo silva wote wanacheza mpira wa kawaida sana ukilinganisha na kelvin de bruyne.
  4. ina maana phil jones huyu wa msimu huu hamuwezi kimpira john stones?
  5. ina maana fernandinho ni bora kuliko nemanja matic?
  6. ina maana kwenze neo la ulinzi otamendi anamzidi eric bailly?
  7. ina maana kwenye eneo la midfield msimu huu unamchagua david silva mbele ya pogba?
  8. kuna mhenga mmoja aliwahi kusema Mguu wa mtu mpumbavu ndio unaoweza Kuazimwa ili kupima urefu wa Shimo la Nyoka.
    TELEMMGLPICT000139286267_trans_NvBQzQNjv4BqsXJ4x1hHApqw7ff8y1ZSzX4qspGOuoyC8_K7Jp9jerE.jpeg
aiseeeeee agiza balimi hapo nakuja kuilipia
 
Confirmed traveling squad members vs Swansea

Sergio Romero

Joel Pereira

Kieran O'Hara

Daley Blind

Chris Smalling

Victor Lindelof

Axel Tuanzebe

Phil Jones

Matteo Darmian

Luke Shaw

Ashley Young

Nemanja Matic

Jesse Lingard

Scott McTominay

Ander Herrera

Juan Mata

Henrikh Mkhitaryan

Marcus Rashford

Romelu Lukaku

Anthony Martial
 
Katika timu kubwa ambayo tumecheza nayo ni Liverpool peke yake ambayo tulipaki basi tukaambulia sare.wikiend ijayo tunacheza na spurs ambao kiukweli ni wazuri kushinda hata sisi naamni tukijitahidi sana tutapata sare hofu yangu ni pale tutakapokuta na noisy neighbours Man city....mkono utatuhusu.Sahau kuhusu majeruhi tulionao Man utd haina kikosi cha kujivunia cheke kukupa matumaini kila ichezapo bali tunaenda kwa bahati tu.

Mwisho niseme kwa timu tuliyonayo na kocha tuliyenaye kuchukua ubingwa ni kwa neema tu za Alah na wala si kwasababu tuna timu nzuri kushinda Man city chlesea au Liverpool.
  1. david silva, sterling, jesus, bernardo silva,sane hawa ndio wachezaji tegemeo wa manchester city halafu unasema watatufunga goli tano,lakini inawezekana kwa sababu nimesikia taarifa mourinho amevutiwa na combination ya joel matip na dejan lovren na yupo tayari kulipa pound million 75 kwa kila mmoja na anataka kabla ya mechi ya manchester city awe amekamilisha usajili wao.
  2. nina wasi wasi mkuu umeandika andiko hili ukiwa na usingizi mzito,mwanadamu anayejua tarehe ya leo hawezi kuthubutu kusema ya kwamba liverpool hii ilioruhusu magoli 16 kwenye mechi 9 tu ni bora kuliko manchester united ilioruhusu magoli 6 kwenye mechi 13 za msimu huu alizocheza.
 
Mkuu, mie naona tumsamehe tu Nakapanya alikuwa anaendeshwa na hisia ......mechi ya jumamosi ni ngumu zaidi kwa timu yetu ingawa Fellain amerudi.
 
Confirmed traveling squad members vs Swansea

Sergio Romero

Joel Pereira

Kieran O'Hara

Daley Blind

Chris Smalling

Victor Lindelof

Axel Tuanzebe

Phil Jones

Matteo Darmian

Luke Shaw

Ashley Young

Nemanja Matic

Jesse Lingard

Scott McTominay

Ander Herrera

Juan Mata

Henrikh Mkhitaryan

Marcus Rashford

Romelu Lukaku

Anthony Martial
Today this is Confidence building match on the way to totenham
 
Back
Top Bottom