Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1508598298105.jpg
 
Kwani nyie mlivyokuwa mnafurahi tulivyofungwa mlikuwa mnaenda kuchukuwa kombe?😀

subutuuu mi siwezi akufurah chelsea kifungwa na crystal palace au burnley mana ni sawa na kushangilia mwadui akimfunga ndanda wakat wote level moja furaha yangu mm nimfunge liverpool au afungwe
 
Kuanzi gemu na liva manchester wameanza kuzingua, hua najiskia kichefchefu ata kuwaangalia, hata hiyo gemu ya uefa tulishinda kibahati tu, morinho si kocha ni mbabaishaji tu

Tutajie huyo kocha anaefaa basi..
 
Jamaa kasahau key player wote majeruh sijui wakirud wakina pogba,bailly,rojo na fellain atasimamia wap kwa mjuz wa mambo bailly,pogba na fellain pamoja na rojo wakirud tayar timu itakuwa kwenye ubora hauna kiungo wa kukaa na mipira unategemea nn
 
Hii ndio dawa na fundisho kwa mourinho aache kumfananisha Rashford na takataka Marrtial au Mata na takataka Mkhitaryan. Unamtoa Mata eti Mkhitaryan azibe pengo lake????? Maajabu
YANI WW NDIO CHIZI LAWAPI SIJUI
 
ndio soka ilo wadau ila jana nimeumia sijapata ona yale amaumivu yake maana tulikua tunacheza mpira wa chandimu kabisa
 
Back
Top Bottom