1. kwenye mechi 9 tulizocheza za ligi kuu victor lindelof hajaanza mechi hata moja, umeona wapi mchezaji tegemeo kuanzia benchi. miaka 14 iliopita manchester united walilipa pound million 30 kwa ajili ya rio ferdinand na bado alikuwa anafanya makosa akiwa uwanjani.jaribu kurejea mechi yetu dhidi ya manchester city tuliowafunga magoli 4 kwa 3 kwenye msimu wa 2009/2010. naamini ni suala la muda tu kabla ya victor lindelof hajatunyamazisha, au ulitaka tumsajili dejan lovren wa liverpool ?
  2. misimu 3 iliopita romelu lukaku akiwa everton na west bromwich alifunga magoli mengi kuliko mchezaji yeyote yule anayechezea timu kubwa ya manchester united ambayo haistahili kufundishwa na mourinho kwa maneno yako, unaposema bei ya lukaku haiendani na uwezo wake wa kimpira pia ni dhambi kubwa sana,najua wengi wetu tunamchukia lukaku kwa sababu hajui kupiga chenga kama morata na aguero, hata drogba hakuwa na mpira wa rangi lakini alikuwa ni mfungaji hatari, kwenye mechi 9 lukaku amefunga magoli 7 ila bado unamkejeli, au ulitaka tumsajili karim benzema kwa sababu ni handsome?
  3. mpaka anaumia paul pogba hakuna mechi hata moja ambayo marouanne fellaini aliyoanza kwenye kikosi cha kwanza hivyo basi naye si mchezaji tegemeo kama unavyotuaminisha, pia msimu huu fellaini ameonyesha tofauti kubwa sana ya kimpira ukilinganisha na misimu iliopita hivyo basi unapaswa kufahamu ya kwamba mwanadamu anabadilika. fellaini wa msimu huu kabla hajaumia alicheza dakika nyingi kuliko herrera ambaye ni mchezaji wetu bora wa msimu uliopita. unapaswa uache mazoea, au ulitaka tumsajili jordan henderson wa liverpool ?
  4. chris smalling naye ni hivyo hivyo anaanza kikosi cha kwanza kwa sababu eric bailly ni majeruhi, smalling ni miongoni mwa wachezaji ambao wamefaidika sana na uwepo wa mourinho kwenye timu na nimekwambia tatizo lako una mazoea, bado unafikiri smalling ni yule yule aliyecheza kwenye mechi tuliofungwa goli 4 na chelsea.niliwahi kuandika humu siku moja ya kwamba msimu uliopita chini ya jose mourinho alifanikiwa kujenga timu kwa 60% na asilimia 40% ni eneo la ulizi. tumecheza mechi nyingi sana chini ya smalling na tumeshinda, jaribu kurejea final ya uerope dhidi ya ajax lakini kama smalling hafai kucheza manchester united basi tuanzishe kampeni ya kumshauri mourinho amsajili joel matip wa liverpool au unaonaje?
  5. pia inawezekana pia umesahau ya kwamba kikosi cha manchester city kinaundwa na wachezaji kama john stones ambaye alinunuliwa kwa pound million 50, fabian delph, fernandinho, mangala aliyenunuliwa pound million 40, sterling aliyenunuliwa kwa pound million 50. kuna mhenga mmoja alisema unapokuwa gerezani unakoga na wenzako pindi utakapodondosha sabuni yako basi usiiokote.(idd amin)
Ama kwa hakika popobawa hafundishwi wala hakatazwi zinaa,kwa huo unyago ulompa sawa bin sawia,kwa nyongeza tu mwambie hata Huyo fegi wake hakuwai kumtisha great mou hata mara moja zaid ya kumpigia ramli na kina fletcher wake,ila Wenger majibu mazur nahisi anayo kuhusu hiki kiumbe mana alifanya arsenal kama danguro na striker wake ambaye alikuwa chenga mwiko,mana ulikuwa ukisikia Tembo inabidi usubiri reply huku model anatafuta Kofi lake reeeeefu hadi magotini...
Mou nakungoja msumbij ukija chochote ntakupa ila vya Woodward tuma mwenyewe
 
Screenshot_20171024-171811.png
 
Sijawahi kumwelewa Yule dogo lingard sijawah sijui nn bora angemuachaga Yule Josh Harrop
 
  1. kwenye mechi 9 tulizocheza za ligi kuu victor lindelof hajaanza mechi hata moja, umeona wapi mchezaji tegemeo kuanzia benchi. miaka 14 iliopita manchester united walilipa pound million 30 kwa ajili ya rio ferdinand na bado alikuwa anafanya makosa akiwa uwanjani.jaribu kurejea mechi yetu dhidi ya manchester city tuliowafunga magoli 4 kwa 3 kwenye msimu wa 2009/2010. naamini ni suala la muda tu kabla ya victor lindelof hajatunyamazisha, au ulitaka tumsajili dejan lovren wa liverpool ?
  2. misimu 3 iliopita romelu lukaku akiwa everton na west bromwich alifunga magoli mengi kuliko mchezaji yeyote yule anayechezea timu kubwa ya manchester united ambayo haistahili kufundishwa na mourinho kwa maneno yako, unaposema bei ya lukaku haiendani na uwezo wake wa kimpira pia ni dhambi kubwa sana,najua wengi wetu tunamchukia lukaku kwa sababu hajui kupiga chenga kama morata na aguero, hata drogba hakuwa na mpira wa rangi lakini alikuwa ni mfungaji hatari, kwenye mechi 9 lukaku amefunga magoli 7 ila bado unamkejeli, au ulitaka tumsajili karim benzema kwa sababu ni handsome?
  3. mpaka anaumia paul pogba hakuna mechi hata moja ambayo marouanne fellaini aliyoanza kwenye kikosi cha kwanza hivyo basi naye si mchezaji tegemeo kama unavyotuaminisha, pia msimu huu fellaini ameonyesha tofauti kubwa sana ya kimpira ukilinganisha na misimu iliopita hivyo basi unapaswa kufahamu ya kwamba mwanadamu anabadilika. fellaini wa msimu huu kabla hajaumia alicheza dakika nyingi kuliko herrera ambaye ni mchezaji wetu bora wa msimu uliopita. unapaswa uache mazoea, au ulitaka tumsajili jordan henderson wa liverpool ?
  4. chris smalling naye ni hivyo hivyo anaanza kikosi cha kwanza kwa sababu eric bailly ni majeruhi, smalling ni miongoni mwa wachezaji ambao wamefaidika sana na uwepo wa mourinho kwenye timu na nimekwambia tatizo lako una mazoea, bado unafikiri smalling ni yule yule aliyecheza kwenye mechi tuliofungwa goli 4 na chelsea.niliwahi kuandika humu siku moja ya kwamba msimu uliopita chini ya jose mourinho alifanikiwa kujenga timu kwa 60% na asilimia 40% ni eneo la ulizi. tumecheza mechi nyingi sana chini ya smalling na tumeshinda, jaribu kurejea final ya uerope dhidi ya ajax lakini kama smalling hafai kucheza manchester united basi tuanzishe kampeni ya kumshauri mourinho amsajili joel matip wa liverpool au unaonaje?
  5. pia inawezekana pia umesahau ya kwamba kikosi cha manchester city kinaundwa na wachezaji kama john stones ambaye alinunuliwa kwa pound million 50, fabian delph, fernandinho, mangala aliyenunuliwa pound million 40, sterling aliyenunuliwa kwa pound million 50. kuna mhenga mmoja alisema unapokuwa gerezani unakoga na wenzako pindi utakapodondosha sabuni yako basi usiiokote.(idd amin)
Uko vyema mkuu
 
Confirmed traveling squad members vs Swansea

Sergio Romero

Joel Pereira

Kieran O'Hara

Daley Blind

Chris Smalling

Victor Lindelof

Axel Tuanzebe

Phil Jones

Matteo Darmian

Luke Shaw

Ashley Young

Nemanja Matic

Jesse Lingard

Scott McTominay

Ander Herrera

Juan Mata

Henrikh Mkhitaryan

Marcus Rashford

Romelu Lukaku

Anthony Martial
Rojo yukwap
 
Back
Top Bottom