Uko sahihi mkuu, ila mimi naona mfumo wa mou hautegemei mawinga kiviile!Mkuu Cavani ni Straiker yani akija atakuwa anachuana na Lukaku, ilhali Sanchez atakipiga kama winger ikizingatiwa Mou alikuwa akihitaji winga ndio maana akawa anamsaka Perisic
Lakini huu mzozo wa cavani na Neymar unaweza kuinufaisha MUFC.. Kama bodi ikigoma kumuuza cavani Neymar atataka kuondokaMkuu Cavani ni Straiker yani akija atakuwa anachuana na Lukaku, ilhali Sanchez atakipiga kama winger ikizingatiwa Mou alikuwa akihitaji winga ndio maana akawa anamsaka Perisic