Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Let stick kwenye hoja ya msingi hizo habari za kina Lindelof sio hoja tunayozungumzia

Martial ni winger tangu akiwa Monaco alivyosajiliwa United alichezeshwa kati sababu United haikuwa na CF akacheza vizuri kwa mfumo wa Mourinho hawezi mpanga Martial kama CF so lazima acheze pembeni hata France alikuwa anacheza kushoto baadae Deschamps akawa anamuazisha Payet,Martial akakaa benchi Euro mwaka huu Dembele akawa anachezeshwa nafasi yake.Angalia hata magoli yeke mengi anayafunga akitokea pembeni
Rashford ni pure CF tatizo lake kubwa bado sio mzuri kwenye finishing so kwakuwa timu inaye Lukaku na Zlatan ili usimpoteze unamchezesha nafasi ambayo anaweza kucheza aendelee kujifunza otherwise umpeleke kwa mkopo .Unasema sio mawinga lakini kwa msimu huu so far wamefanya vizuri sana licha ya kucheza dakika chache sana hasa Martial

Martial ana magoli 5 assist 5 na Rashford ana magoli 5 na assist 4
 


Sky Sports bhana! Sometime Unazi unakufanya uonekane Juma Mkamia...
 
Ligi bado sana chelsea,arsenal,liverpool na manchester united bado wananafasi hakuna timu iliyozidiwa na mwenzie point 10 huyo city everton tu alimtoa jasho kwake
MKUU kwa mwenendo wa man city sasa ni kma Chelsea msimu ulopita. ..yani wanabutua tuu ..hata wewe ukikaa vibaya atakubutua tu ...na mimi naomba iwe ivyo
 
mkuu nimekutajia hapo juu nafasi za pembeni kuna
-wing forward (martial, ronaldo, anavyochezeshwa rashford etc) huyu ni winga anaeingia ndani sio anaehitajiwa man u, tunao wengi wa design hii mata anacheza, yule mtoto perreira anacheza, mkhitaryan anacheza, etc

-kuna natural winger pia unaweza muita old school winger design ya perisic ambaye anakimbia na mpira pembeni na kutia cross, kipindi cha fergie hawa walikuwepo wa kutosha kina Giggs enzi zake, valencia na young enzi zao, richardson, etc.

na haya si maneno yangu mkuu, press conference kibao mou amesema anataka wide man, sio kwamba hajamuona huyo martial au rashford, anawaona ila anajua hawawezi kazi ya winger.

Na hata ukiwa na goli 100 na assist 100 kama kwenye mechi muhimu unashindwa tekeleza alichokuambia kocha ni bure, mechi ya liver ni mfano mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…