Manchester United (Red Devils) | Special Thread

..walisema kwamba hatutamiss pogba lknykweli ni kwamba tunamuhitaji sana huyu jamaa..especially kwny match kubwa kamahii ya liverpool..leo midfield ywtuilikuea imekufa kabisa yan..mipira haiendi mbele!
Mou alienda Liverpool ili ASIFUNGWE tu! Mou anaamini atachukua maximum points nyingi kwa timu ndogo, hivyo asipofungwa na timu kubwa atachukua ubingwa. Home games na timu kubwa atahakikisha tunashinda,ila away atafanya mbinu yoyote tusifungwe.
 
.......JF ni supermarket ya news. Zipo tuzipendazo na zipo habari hatuzipendi. Ni kazi kwetu kuchagua zipi za kuchukua zipi za kuacha.......


Mie mwenyewe kuna baadhi ya picha zako huwa sizipendi kabisa na hata huwa sizifungui, mbona silalamiki????

Na wao siwazikwepe tu wasiziangalie kwani lazima?? Shida ya nini kutoa mapovu.....


ila nyingine huwa mpaka nazicopy, naprint alafu nabandika hapa ghetto kwangu.
 
Hata mimi pia, huwa napataga mateso maana mpira ukielekeaga upande wake lazimika kubinya m.a.p.u. m.b.u.u mpaka upite.

Huwa nakosaga amani kabisa akiwa ndani. Akiingia hata mitungi naacha kupiga hadi atoke

Mkuu mnamuonea sana huyu jamaa kipind cha van gal alisimama yeye na blind walifanya vizur sana pia kama sikosei alijitoa mhanga kumdaka miguu kati ya panchion au bolazie wa crystal palace fainal ya Fa alikuwa anenda kutufunga smalling alikula umeme ila ndoo tulibeba lile goli lingefungwa mchezo ulikuwa unaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…