Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tutashinda mkuu....coz ile man u iliyopita sio hii bob na tulisuruhu na liver HOME & AWAY
 
Pengo LA Fellain linaweza kuzibwa na mkongwe Carrick au Herreira.
Carrick anatajwa kuwa moja ya majeruhi. Herreira atahusika. Hata hivyo, Fellain ni pengo kubwa hasa kwa siku za hivi karibuni ameisaidia sana timu yetu kupata matokeo mazuri...
 
Fellain amerudi kwenye kiwango chake.Sasa katikati Liver ni wazuri watatuvuruga hadi basi.Pogba vipi?
 
Pogba bado anaugulia majeraha. Pengo kubwa sana. Liverpool watataka kuzindukia kwetu, ni mechi ngumu.
 
Itakuwa mechi ngumu sana na kipimo kizuri kwa Man U kwani haijakutana na hivi vigogo Arsen,chels,Man City,Tot,nk
Uko sahihi usemacho. Mechi ngumu sana hii japo sio kipimo cha mwisho hata kama hatutapata matokeo tuliyoyazoea kwa msimu huu tangu uanze. Timu zote tulizocheza nazo bila kujali si" one of the top 4 or 6" bado tunapaswa kuzipa heshima
 
Haa haa.Tabiri matokeo tucheze mkeka hapa hapa.........
 
Back
Top Bottom