Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Angetupangia Gomez tungemfunga goli 7,tutayahamishia magoli yetu kwa Arsenal
 
You really missed a great deal, Tafuta hata recorded uangalie.

Itabidi na mimi nitafute recorded manake niliikosa hii game, ngeleja alifanya mambo bila kutarajiwa.

Hatahivyo kazi nzuri vijana kwa kuanza kwa kishindo msimu huu, si kawaida yetu, nadhani SAF amekuja na strategy mpya mwaka huu, na hawa machalii Phil Jones na John Evans inaonekana watakuwa bonge la partnership.
 
Kaka hawa vijana ni Balaa, Johny Evans alisemama vizuri mno. Huyu phili Jones asikwambie mtu. Kuna moja aliblock hadi raha, Jamaa alikua Ndani ya box kumchungulia De Gea, sijui, Dogo Jones akalal chini mzima mzima kublock ile shot. It was a very Entertaining to a manu Fan, Wapinzani jana matumbo joto tu.
 
Man u chama la ukweli daima,nina wasiwasi jumapili wenger anaweza asiingize timu maana muziki huuu sijui watapigwa ngapi...tehe teheeeeee
 
Kaka hawa vijana ni Balaa, Johny Evans alisemama vizuri mno. Huyu phili Jones asikwambie mtu. Kuna moja aliblock hadi raha, Jamaa alikua Ndani ya box kumchungulia De Gea, sijui, Dogo Jones akalal chini mzima mzima kublock ile shot. It was a very Entertaining to a manu Fan, Wapinzani jana matumbo joto tu.

Mkuu usiendelee kunisimulia nisije nikashindwa kumtumika mwekezaji, nikaenda kuitafuta hiyo game.

Weekend ijayo tunawapiga vibaya watoto wa Mr. Bean na kumwachia msala na mashabiki teana sasahivi washaanza kuchanganyikiwa!!
 
Hongeera mashetan wenzangu.....didnt get tm to watch the game, hope we did great (kama kawaida yetu).

Same here mkuu, sikuangalia game jana!..am glad we did it kama kawaida yetu!!..Bravooo fellow fans🙂)))
 
Same here mkuu, sikuangalia game jana!..am glad we did it kama kawaida yetu!!..Bravooo fellow fans🙂)))

Miss u BJ our first lady...! habari za masiku mengi, naona kijiwe chetu kina anza ku resume taratibu....
Karibu msimu mpya, naona 'watoto' wanatia matumaini kuwa msimu huu we shall pick from where we left last season.
Cheers mate!

BTW namsaka Michelle...wasalaam ukimpata.
 
SNE2201P-682_1149111a.jpg

Uncivilised Manure fans wanted to kill Rooney
when he wanted to leave the club ... .... ... .

and then watakwambia wao ni big club? Big club my foot!
 
carosuel-roo_20101_1147680a.jpg

the crying manager ... .... ...

khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
carosuel-roo_20101_1147680a.jpg

the crying manager ... .... ...

khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Subiri kipigo wiki ijayo wewe,anza kutafuta visingizio kabisa maana msimu huu hatuna msamaha kwa vibonde
 
Subiri kipigo wiki ijayo wewe,anza kutafuta visingizio kabisa maana msimu huu hatuna msamaha kwa vibonde

Mechi ya mwisho nani alifungwa? Wacha kelele kajipange upya khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee cry babies ... .... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee one man team.
 
Huyu dogo Phil Jones naona muda si mrefu atamfanya Rio Ferdinand astaafu soka,Naona kuna dalili kubwa sana za Berbatov kuondoka January sidhani kama ataweza kupigania namba ni hawa vijana kina Chicharito na Welback
 
Mechi ya mwisho nani alifungwa? Wacha kelele kajipange upya khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee cry babies ... .... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee one man team.
Nakwambia hivi next week kiboko yenu Park Ji Sung anaanza na Chicharito pale mbele .Nasubiri porojo zako kuwa tumemwaga mpunga
 
Nakwambia hivi next week kiboko yenu Park Ji Sung anaanza na Chicharito pale mbele .Nasubiri porojo zako kuwa tumemwaga mpunga

Kiama chenu kipo njiani khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mpira sio majina.
 
From the look of it usajili wetu ushaisha...Ingawa bado tunahitaji DM/CM.

Kesho draw za Champions League zinafanyika would be interesting kuona tutapangiwa na akina nani na the rest of the English teams nao sijui watadraw akina nani.

Draw za Carling Cup ziko jumamosi another interesting thing kuna baadhi ya watu wanaipa Liverpool chances kubwa za kuchukua mwaka huu.
 
This is what makes the difference Between wenger and Fergie in Keeping his star players

Mkuu Ronaldo yuko wapi? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee as for wine Romney bado haja-prove his greatness ... .... ...
 
Back
Top Bottom