Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu kama mtachukia,chukieni...Lakini Mimi binafsi naona Mata anatakiwa kuanzia benchi....Martial na Rashford wanatakiwa kuanza pamoja.
Mechi zote,akitoka Mata ndio tunapata gori nyingi.

Ukijua kwanini tunapata goli nyingi dakika za mwisho utakuja kurekebisha post yako. Ila usimbebeshe playmaker Mata mzigo, he is one of the finest attacking mid tulionao kwa sasa.
 
4G wamepata wale wengine. Sisi bado tunapambana kumaliza na goli moja.
 
Back
Top Bottom