Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United manager Sir Alex Ferguson was reluctant to criticise goalkeeper David de Gea following his performance in Sunday's Community Shield triumph.

Asked about Dezko's goal, Ferguson said: "Well it was bending a little bit ... it's difficult to say."
 
Bravo MAN UTD ...................noisy neighbours now are silent, bring on the EPL.
Watani karibuni tusherekee pamoja...............
 
wana mmeona kandanda la leo? Arsenol na ndugu zenu chelse mjiandae vya kutosha!t
 
19th Community Shield trophy to sit alongside 19 league titles......, Nani '11, Scholes '10 and Owen '09 commemorate a hat-trick of last-gasp derby match-winners.
 
Squad ya msimu huu itakuwa kubwa zaidi, Fergie atakuwa na option nyingi, kwenye CB kuna Vidic, Rio, Evans, P. Jones, Smalling, kwenye FB kuna Evra, Fabio, Rafael, Smalling, CM/FM kuna Cleverly, Carrick, Anderson, Park, Wingers kuna Young, Valencia, Nani, halafu Strikers kuna Macheda, Welbeck, Rooney, Hernandez, Berba. Wapinzani watapata tabu sana. Natamani tukutane na barca kwenye CL tuwapige za kutosha
 
Naona mmeacha ile boring game yenu ndio chababu mnamlilia Nasri. Mwaka huu mtakoma ubishi hilo ndio fundisho mlilopata kutoka kwa mechi zenu mlizocheza na Arsenal na Barca na zote mlikung'utwa kama gunia. Karibuni mwaka huu tuna nyie tena mapema sana. ..... ..... .....


sport-splash_1356071a.jpg



Enjoy while it lasts ... ..... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Naona mmeacha ile boring game yenu ndio chababu mnamlilia Nasri. Mwaka huu mtakoma ubishi hilo ndio fundisho mlilopata kutoka kwa mechi zenu mlizocheza na Arsenal na Barca na zote mlikung'utwa kama gunia. Karibuni mwaka huu tuna nyie tena mapema sana. ..... ..... .....


sport-splash_1356071a.jpg



Enjoy while it lasts ... ..... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
LMAO eti kama gunia msimu uliopita tumecheza na Arsenal mara tatu tumewafunga mara mbili na mmetufunga mara moja sasa hiyo ya kutufunga kama gunia umeitoa wapi ujaachaga longo longo tu?
 
_54464538_lescott_goal.jpg


LMAO eti kama gunia msimu uliopita tumecheza na Arsenal mara tatu tumewafunga mara mbili na mmetufunga mara moja sasa hiyo ya kutufunga kama gunia umeitoa wapi ujaachaga longo longo tu?

Mkuu huwa tunaangalia last game tu hatuangalii maloloso mengine. Labda utwambie mechi yenu ya mwisho competitive mlitufunga mangapi? Vinginevyo lala tu usingizi wa pono na ass yako itakuwa poa leo, maana kelele zimepungua khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Zile mbio za Nani sasa naamini Usain Bolt kapata mshindani tatizo yupo katika mchezo tofauti na riadha
 
Kweli SAF noma lol, Alan Pardew kampigia simu kuhusu jinsi ya kuwacontrol wachezaji wanaotumia Twitter before we know Gabriel Obertan anafanya medical Newcastle with a 5 year deal on the table.
 
[QUOTE Mkuu huwa tunaangalia last game tu hatuangalii maloloso mengine. Labda utwambie mechi yenu ya mwisho competitive mlitufunga mangapi? Vinginevyo lala tu usingizi wa pono na ass yako itakuwa poa leo, maana kelele zimepungua khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee[/QUOTE]


Typical ArsNOOls fan...wewe furaha yako ni kuifunga Manure whilst at the end of the day mnatoka troophlessy?...kazi ipo kama kwel ndio furaha yako....

Ehhh! nambie sasa, safar hii mnaenda unbeaten tena na timu yenu ya kuungaunga na superglue?
 
GARETH-PIC_1356878a.jpg


Fergie has patiently introduced more and more young talent into his United team - and the 69-year-old maestro could now name a new-generation side that would be the envy of most Premier League teams. Like the one featured above.
 
[h=1]Evra backing for Cleverley[/h]Patrice Evra has suggested Manchester United have a ready-made replacement for Paul Scholes in their ranks in the guise of Tom Cleverley.
tomcleverley20110807_275x155.jpg


https://www.jamiiforums.com/news/st...eijder-hints-at-unofficial-talks-with-man-utd
Cleverley has gone from relative obscurity to one of the most talked about players in the Premier League in a matter of days. On Sunday morning, he had yet to make his competitive United debut. A few hours later, he was the toast of Old Trafford after climbing off the bench to help the club come from two goals down to beat Manchester City 3-2 in the Community Shield.
An England call up followed less than 24 hours later and he is in the frame to start against Netherlands at Wembley on Wednesday if the game goes ahead.

It has been a meteoric rise for the midfielder, but defender Evra feels the 21-year-old will take things in his stride.
"Tom is a fantastic player, and I hope this season he will get a lot of opportunities," Evra said. "In pre-season in America, he played some amazing games, particularly against Barcelona. In the second half [against City], you saw that he is not afraid. He had a lot of energy and we need a player like this."

Sir Alex Ferguson has been seeking out a replacement for Scholes and he could well have a diamond in his own squad.
"He's a quiet lad," Evra said. "He's a bit like Scholesy in that way. He never talks much, he just does his job on the pitch. He's a very private guy.
"Bringing young players through is what we do here. Players like Tom are the future. The boss is not afraid to give young players a chance. He knows they can help us to win more titles. That's the United way. It's always been like that. The boss never waits, or thinks it's too dangerous."
 
Awa wahuni wa London wabondane weeeeeeeee lakini watuachie EPL schedule yetu kama kawa....wasituletee uhuni kwenye starehe zetu bana.
 
[QUOTE Mkuu huwa tunaangalia last game tu hatuangalii maloloso mengine. Labda utwambie mechi yenu ya mwisho competitive mlitufunga mangapi? Vinginevyo lala tu usingizi wa pono na ass yako itakuwa poa leo, maana kelele zimepungua khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



Typical ArsNOOls fan...wewe furaha yako ni kuifunga Manure whilst at the end of the day mnatoka troophlessy?...kazi ipo kama kwel ndio furaha yako....

Ehhh! nambie sasa, safar hii mnaenda unbeaten tena na timu yenu ya kuungaunga na superglue?[/QUOTE]


We have got the unbeaten record and we would like to repeat. Vipi hupendi? Naona donge liko kooni khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Papers: Sneijder deal close

10/08/2011 08:45
FB7ED78EB1E24DD1A14AB6C05FEB7931.ashx
David Maddock in The Mirror writes...

Wesley Sneijder will thrash out his future over the next 48 hours, after his move to Manchester United took a major step closer on Tuesday. The Dutch winger was hoping to hold formal talks with the Premier League club in London on Thursday, following his country’s friendly international with England at Wembley. But the riot-induced postponement of the fixture has moved that process forward, and now the 27-year-old will speak with his club, Inter Milan, on Wednesday to seek permission to begin negotiations in earnest. Sneijder hinted this week that informal talks have already begun over the transfer, with the two clubs close to arriving at a fee somewhere in the region of £32million. His representatives will be in Milan on Wednesday, hoping to speed up the process, which would allow the player to fly into England to thrash out the terms of a near £200,000 a week contract.
 
Back
Top Bottom