Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-09-09-22-30-19.png
Screenshot_2017-09-09-22-30-28.png
 
Liverpool imefungwa tano bila hakuna anayejali..

Chelsea alianza ligi kwa kubugizwa tatu hakuna aliyejali..

Arsenal alichabangwa nne bila kama amesimama, hakuna aliyejali..

MUFC kalazimishwa sare ugenini kuna watu wanafanya sherehe na kukesha huku wakicheza muziki..

Ninaposema timu nyingine hazina mashabiki bali zina wenye chuki na MUFC huwa namaanisha!
Chelsea alivofungwa na barnley dunia nzima ilirindimaa ...maana sio kwa zile kelele zenu, kila baya lilisemwa ..wachambuzi uchwara kama akina Shaffih na wengine waliongea kadri ya uwezo wao. Hata asiye shabiki wa mpira alijua Chelsea imefungwa ..mbaya zaid ni pale arsenal aliposhinda ile ngao ya hisani. ..apo ndo ilikuwa balaa

Sasa nyie kuna watu hata hawajui kama jana mmecheza ..man ilishaporomoka siku nyingi sana haina tofauti na QPR au Reading fc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ollachuga oc: john terry mwamba mkataba ulipoisha timu nyingi za epl zilituma ofa ya kumtaka akapiga wazo kaona aston villa mahali sahihi japo wapo championship unajua kwa nini terry ana ndoo 6 aston villa 7 kwa hiyo akaona bora aende kwenye club kubwa
Hahaha kweli STOKE CITY sio watu wazuri

Sasa ndo umeongea nin apo ..
 
Tatizo mashabiki wa man u wanakelele sana yani mkishinda tu mtaani atuna amani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kelele tupo wengi mtaani ndo mana tunaonekana tuna kelele watu 50 ni sawa na watu 10? Mpite kwanza ili umtulize utakuwa vipi na amani hata mtaani kwako mpo wachache karibu timu yenye mashabiki wengi duniani
 
Chelsea alivofungwa na barnley dunia nzima ilirindimaa ...maana sio kwa zile kelele zenu, kila baya lilisemwa ..wachambuzi uchwara kama akina Shaffih na wengine waliongea kadri ya uwezo wao. Hata asiye shabiki wa mpira alijua Chelsea imefungwa ..mbaya zaid ni pale arsenal aliposhinda ile ngao ya hisani. ..apo ndo ilikuwa balaa

Sasa nyie kuna watu hata hawajui kama jana mmecheza ..man ilishaporomoka siku nyingi sana haina tofauti na QPR au Reading fc.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dunia ipi we jamaa unaizungumzia? Nigeria au mana huko chelsea inatamba
 
Poleni sana
Ndiyo soka
Lile linyama mwitu la Kameruni Chaupele Moutipo jitu baya sana!
 
Ahsante mkuu walikaza sana jana, ila na nyie poleni man city hana huruma kabisa. Nilipita kwenu kule kutoa pole zangu. Mwambie Salah next time akipata chanc afunge mapema

Refa Moss gave Man City a game
11 Man City 11 Liverpool hawatufungi popote pale!
Ku drop point kwa Stoke sio jambo zuri
 
Yeah sure pale EPL nawaona Liverpool tu ndio watakaoambulia angalau sare hii round ya kwanza.

Na totenham kidogo ndio watakaotusumbua angalau kuambulia sare na sio kuondoka na Point,ila hawa wengine sioni atakayetoka salama.

Na kadri muda unavyooenda Mou anakwambia ndio anavyozidi kuona makali ya wachezaji wake.

Now tunatafuta Match Fitness na Chemistry ya wachezaji wetu,baada ya Match kumi moto utakuwa sio wa kusogelewa.

Bado natamani kuona tukifungwa na kusawazisha na hatimaye kushinda,bado natamani kuuona ule ushindi wa dakika za mwisho kama enzi za Sir.

Mou amewaambia wachezaji wake hasa washambuliaji na viungo msimu hataki Pressure,ni kumaliza mchezo ndani ya dakika 30 za mchezo kipindi cha kwanza,ili kutoa nafasi kwa timu kurelax na sisi mashabiki kuendelea kuagiza vinywaji bardi kwa raha na wengine kuendelea kununua Popcorn au kusoma Mwanasport.

Mabeki wameambiwa wahakikishe De Gea anakuwa likizo ndani ya mchezo,amefanya kazi kubwa sana misimu mitatu iliyopita now anatakiwa kupumzika akiwa uwanjani ikiwezekana awe ananingia na simu au magazeti aendelee kuperuzi kuhusu yanayoendelea duniani hasa ya kuapishwa kwa wabunge wa CUF,watengeneze ukuta kuuzidi ule wa Rio na Nemanja.

Pale kati,Matic ameomba pale aachiwe yeye,Pogba ametuhakikishia furaha na nadhani tumeanza muona Pogba wa Juve (New Scolse),yale magoli ya Nje ya 18 yalikuwa adimu tangu aondoke CR7 now sasa tutaanza kuyaona.

Yale magoli ya ajabu ajabu ya Dimitri berbetov soon Ibra ataendelea kutukumbusha.

Rashford sitaki hata kumuongelewa alichowafanya jana Slovakia sio mchezo naona Mou ataanza kufikiria kumpanga kati kama namba 10 na Mikh kurudi namba 7 tuone pasi za mwisho za kideo,mana sio attack zake.

Bado Form kwa Mikh na Matta hawa wakiwa on fire basi hamna haja ya kumuangalia Isco na Assecio mana ni wachanga kwa hawa mafundi,Mkubwa Fella Leo simzungumzii kabisa namuacha apumzike mana hata sijui ile namba anayocheza pale ni ngapi lakini ndio hivyo ibaki kuwa kiungo Holding Midfield wa juu.

Banch sitaki kuligusa mana Match ijayo tutaanza muona Ibra akiwa Banch.

Mou anatamani match zingekuwa zikichezwa kila baada ya siku mbili.

Mou anasema "We're on Fire).

[HASHTAG]#This[/HASHTAG] is our season.
##GGMOU.

Scofield.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu mchambuzi
 
Back
Top Bottom