Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

penetration pass za man city sio za masihara kabisa, na yule mendy alivyokuwa anapanda ni balaa. Ndo soka mkuu ngoja tusubiri game za UEFA

Kabla hajapewa kadi nyekundu Mane huyu Mendy alifanya nn?
Alijaribu kupanda ikanaswa akatumbukiziwa Salah kipa wao akapangua
Hata iliyo fanya Mane atoke ilipotishwa upande wake Mendy na akawa off balance
Mendy kaanza kucheza baada ya Mane kutoka
 
Its funny how people wanai troll Utd kwa ku draw away na Stoke afu wanaacha mtu kama Liverfool aliyekula hamsaa..

Kweli Utd ni mti wenye matunda..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka matokeo yoyote ya united ni faraja na manung"uniko kwa watu. Hii inaonyesha jinsi timu hii ilivyo kubwa siku tukifungwa watalala humu wiki nzima
 
Kwani mliandikia hati miliki......sizani kama kuna timu mtamfunga 4G tena.

Sent using Jamii Forums mobile app


Mbona umeng'ang'ania 4g sana hata chelsea walimfunga man na everton ligi iliyoisha goli 4 mkajiita 4g au umesahau? Mlirudia tena ule ushindi tatizo wasahaulifu wivu na chuki vinakupoteza wengine wakiandika mnaumia ile nyie safi tu!!!!!!
 
Sasa ivi mmebaki na historia tu. Tumechukua makombe mengi kuliko timu nyingine. We are here for present and not past..hizo tunaziita zilipendwa...Diamond song

Sent using Jamii Forums mobile app

Uko wapi wewe google hapo toka 2013 hadi leo nani kabeba mengi? Man unuted kalikosa epl tu!!!! Katika makombe man united katoka msimu mmoja tu kapa sasa nyie mliibuka 2014/15 uliofuat mkatoka kapa hata Fa hakuna mmerud tena 2016/7 angalia ulichoandika hapo wakat huo united anakusanya vikombe vya kawaida tu
 
1505059180057.jpg
 
Chelsea alivofungwa na barnley dunia nzima ilirindimaa ...maana sio kwa zile kelele zenu, kila baya lilisemwa ..wachambuzi uchwara kama akina Shaffih na wengine waliongea kadri ya uwezo wao. Hata asiye shabiki wa mpira alijua Chelsea imefungwa ..mbaya zaid ni pale arsenal aliposhinda ile ngao ya hisani. ..apo ndo ilikuwa balaa

Sasa nyie kuna watu hata hawajui kama jana mmecheza ..man ilishaporomoka siku nyingi sana haina tofauti na QPR au Reading fc.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama man utd ni QPR umefata nn kwenye Jukwaa la QPR? u know how big the Club is ndio maana umekuja mbio kupost
 
Back
Top Bottom