radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Kweli timu yetu ni kubwa suluhu nyumbani kwa mtu et moto wa mabua je tungefungwa leo si ungelala barabarani ukishangilia mnaumia eeeee
Speed ilianza kupunguzwa wiki ilopitaMfyuuuuuuu stock City kwanini kunipunguzia speed!!!
Glory Glory Manchester United!! Jamani nawamiss mpka naumwa!! Hongereni sana mwendo uko poa!!! All the best wapendwa wangu wote!!!
Sent using Jamii Forums mobile app


na sasa inaendelea kupungua tu.
Mkuu tunaongelea gemu ya leooBurnley na crystal palace wale wanafumua tu timu zilizo daraja moja
Exactly ..ndivyo itakavyokuwa na Old TraffordKama Burnley alivyochukua zote 3 pale kwenye uwanja wa kukodi?
Exactly ..ndivyo itakavyokuwa na Old Trafford![]()
![]()
ZOUMA ana roho mbaya sana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly ..ndivyo itakavyokuwa na Old Trafford![]()
![]()
ZOUMA ana roho mbaya sana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan mlitegemea kupata dro?Roho mbaya gani? Kupata droo ndio kuwa na roho mbaya? Kweli mmeishiwa
Exactly ..ndivyo itakavyokuwa na Old Trafford![]()
![]()
ZOUMA ana roho mbaya sana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwapa ofa ya gemu tano tu ligi ...bado mojaChelsea kishachukua ubingwa





Nyie ndo mnazidi kuishiwa point mkuuRoho mbaya gani? Kupata droo ndio kuwa na roho mbaya? Kweli mmeishiwa
Sipati picha chelsea ndo angekuwa na makombe ya united 6 tu mnatapika hiv