Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,071
Mara ya mwisho UNITED kuifunga STOKE nyumbani kwao ilikuwa ni ENZI ZA FERGUSON jmn..hii mechi ni ngumu sana BUT United ya sasa ni tofauti kbs na ya misimu miwili/mitatu iliyopita so i hope WE SHALL MAKE IT!!! GGMU!!! GGMU!!!! GGMU!!!!
Ugiligili
Ugiligili
