Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Liverpool imefungwa tano bila hakuna anayejali..

Chelsea alianza ligi kwa kubugizwa tatu hakuna aliyejali..

Arsenal alichabangwa nne bila kama amesimama, hakuna aliyejali..

MUFC kalazimishwa sare ugenini kuna watu wanafanya sherehe na kukesha huku wakicheza muziki..

Ninaposema timu nyingine hazina mashabiki bali zina wenye chuki na MUFC huwa namaanisha!
 
Hapo ndo utajua kuwa manchester united ni kubwa mno tuwakalibishe madogo mkuu waache wajimwage wengi ni wale wenye ndoo 6 za aston villa
 
Kwan mlitegemea kupata dro?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ollachuga oc: john terry mwamba mkataba ulipoisha timu nyingi za epl zilituma ofa ya kumtaka akapiga wazo kaona aston villa mahali sahihi japo wapo championship unajua kwa nini terry ana ndoo 6 aston villa 7 kwa hiyo akaona bora aende kwenye club kubwa
 
Liverpool imefungwa tano bila hakuna anayejali..

Chelsea alianza ligi kwa kubugizwa tatu hakuna aliyejali..

Arsenal alichabangwa nne bila kama amesimama, hakuna aliyejali..

MUFC kalazimishwa sare ugenini kuna watu wanafanya sherehe na kukesha huku wakicheza muziki..

Ninaposema timu nyingine hazina mashabiki bali zina wenye chuki na MUFC huwa namaanisha!

Kawaida yao, aliebora lazima atasemwa sana
 
Arsenal alichabangwa nne bila kama amesimama, hakuna aliyejali..

HAPO KWENYE ASENO NAKUKATALIA YAANI A BIG NO!
MABANGO YALIYOFUATA BAADA YA KIPIGO AISEEH MUNGU ANAJUA , KIPIGO KILIMFANYA LEMAR AGOME KWENDA ASE4
 
Screenshot_2017-09-09-23-54-48.png
 
FB_IMG_1504990563144.jpg

Halafu shaffih dauda anauliza je mkeka wako unapumua?
 
Back
Top Bottom