mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
No one conceded3⃣ games
3⃣ wins
9⃣ points
0⃣ conceded
No. 1⃣ in the @PremierLeague
Good times![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
No one conceded3⃣ games
3⃣ wins
9⃣ points
0⃣ conceded
No. 1⃣ in the @PremierLeague
Good times![]()
Leo neno lako limetimia mkuu... Mechi ijayo mnapigwa kabsaTumeanza kupunguza idadi ya magoli.
Kutoka kushinda 4 mpk 2
Kitambo kidogo tutaanza kupunguza na point...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabovu tu nyie, taratibu mtaenda kwenye mtaa wenu ........... wenye nafasi zao nao washapanda.
Timu ya waimba taarabu hii maneno kibao kama watoto wa kike
We unatokana kiboko wakati hujavuka mto!?!?Burnley na crystal palace wale wanafumua tu timu zilizo daraja moja
Mkuu leo kukosekana fellain kumemfanya pogba asipande kuongeza ushambuliziKosa la kwanza ni kubadili kikosi.
Kosa la pili ni mabeki walikua wamezubaa sana.
Sio mmetawala ..mna kelele sana.Kumbe tumetawala mitaa eee? Mkiambiwa manchester united ni giant mnakataa tunaweza kuwalaza mapema asubuhi tu ila nyie mshinde msishinde mitaa inakuwa poa tu ni sawa wakutane maji maji na ndanda
Na ndiyo maana nikasema kwenye Epl hakuna majigambo. Ukifunga Leo kesho utafungwa tu hakuna mwenye hati miliki wa kutofungwa. Ile kasi yenu ya 4 G imepungua kulikoni?Wajirekebishe ki vipi? Kwani mlipotandikwa na burnley nyie mlivimba kichwa na kujiona bora?
Unajua goli 5 ni nyingi sana .cute b naomba unipelekee pole zangu kwa Ed n Edd nEddy mwambie nammisss sana!!! Apambane tu na hali yake 5 si mchezo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Stoke City wana roho ngumu kweli kweli ...ni "Watu wasiojulikana"Kama wewe ni mtaalamu wa mpira naamini uliona kilichotokea uwanjani. Chelsea ilionesha uhai baada ya kupewa kadi nyekundu 2.Wajirekebishe ki vipi? Kwani mlipotandikwa na burnley nyie mlivimba kichwa na kujiona bora?
Na ndiyo maana nikasema kwenye Epl hakuna majigambo. Ukifunga Leo kesho utafungwa tu hakuna mwenye hati miliki wa kutofungwa. Ile kasi yenu ya 4 G imepungua kulikoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vigumu kuona baada ya moto wa mabua kupungua kwa kasiSioni ulichoandika hapo chenga tu
Hahahaha BRAVOOOO STOKE CITYYYYTatizo mpira mmeanza kuujua 2004 tupe rekod timu iliyoshinda mech zote bila suluhu





Kama wewe ni mtaalamu wa mpira naamini uliona kilichotokea uwanjani. Chelsea ilionesha uhai baada ya kupewa kadi nyekundu 2.
Sent using Jamii Forums mobile app