Ombi maalum tunaomba ufute hiyo sentensi yenye red
dakika ya 64 goli ni 2-2Ngapingapi hadi sasa wakuu!
Sasa hutaki movement ya goli ilikuwa kama Arsenal?
kompan katoa faulu nje ya 18 ..roooooneyyyyyyy anapiga hapa
yap..huyu dogo academy katulia sana leoWelbeck ka improve sana game yake
Kaenda lockerroom alafu kaamua kurudi lol.Nona Balotelli kaenda kunyonya lockeroom, dogo ana matatizo kweli.